viongozi wetu wote ni wacha mungu na wanaheshimika na viongozi wa dini zote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. mkapa mcha mungu ila JK mmmmmm kikojozi sanaaaaaa! mpaka wanasema anamiwaya bwana.

    ReplyDelete
  2. mbona msg hazikubali michuzi sasa hii ikija ni baada ya kujaribu sanaa

    ReplyDelete
  3. wewe anpny hapo juu una ukimwi huna nadhani ni swali nalotakiwa kuligeuza upande wako na kwani ukimwi nini? mimi mbona sikuutafuta ulinijia wenyewe? na sasa nina miaka 6 ndani ya huo ugonjwa nimeuzoea ni sehemu ya maisha yangu walikuwepo walionicheka na kunikebehi leo hiii wamekuwa mifupa hivyo chunguza sana mdomo wako si jambo la kumnyooshe mtu kidole.

    ReplyDelete
  4. jamani urais mtamu naona kama bwm amepungua sana ila itamsaidia kwa afya yake.

    ReplyDelete
  5. Anony wa tatu una busara sana. Inatosha mimi kukuambia hivi. endelea hivyohivyo.

    ReplyDelete
  6. jamani kwani ukimwi nini mbona wetu wengi tuu tunaukimwi natunaishi vizuri tuu, kuna haja gani ya kutukana watu wewe unauhakika gani?

    Hata hivyo jiulize kwani huo ukimwi umeumbiwa nani?.

    watu wengi tuu tuwagonjwa. sioni kama ni sahihi kutukana watu.

    ReplyDelete
  7. kwasababu mko open kusema hadharani kwamba mna ukimwi, Ningefurahi sana kama mge jitambulisha majina yenu ili tuwajue. Amen

    ReplyDelete
  8. hahahahhahahahahhahah ni mimi mwaipopo

    ReplyDelete
  9. Sina ugomvi na mtu wala sipendi kuwa na ugomvi na mtu yeyote awaye, ingawaje sura yangu ambayo sikuwa na nafasi kuiumba ina waudhi watu fulani. Napendelea jina langu kutotumika visivyo. Najua siwezi kukufikia anony uliyetumia jina langu hapo juu lakini naomba uniache na amani kidogo nilinayo tafadhali.

    ReplyDelete
  10. john samahani sana tusameane ni utani, naona nilivuka mipaka kidogo naomba usiumie wala usichukie ni upendo nilionao juu yako ndo maana nikaona nikutanie, ujumbe nimepata hapo juu.

    samahani dhihaka kama hii haitorudia tena,
    kama umenisamehe naomba uniambie.

    samahani sana bwana haikuwa kwa nia mbaya

    ReplyDelete
  11. Anony nimekusamehe bwana. Labda sikuelewa kuwa ulikuwa utani tu.

    ReplyDelete
  12. haaa nini wewe mwaipopo nani akuombe samahani, eti umenisamehe,eti unacheka

    ReplyDelete
  13. anony#3 na anony#5 msijali comments za watu wajinga. You are both very courageous people dont let anyone take that away from you, i wish you both a happy life.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 13, 2006

    KUJIFAHAMU MWENYEWE NI KUMJUA MUNGU , NA KUMJUA MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA!
    UKIMNYOOSHEA MWENZAKO KIDOLE KIMOJA KIBAYA VIDOLE VIBAYA VITATU VINAKUGEUKIA WEWE NA KIMOJA KWA MUNGU ALIYEMUUMBA.HATUREKEBISHANI KWA KASHFA NA MATUSI HAISAIDII!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...