Home
Unlabelled
bwm na maaskofu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mkapa mcha mungu ila JK mmmmmm kikojozi sanaaaaaa! mpaka wanasema anamiwaya bwana.
ReplyDeletembona msg hazikubali michuzi sasa hii ikija ni baada ya kujaribu sanaa
ReplyDeletewewe anpny hapo juu una ukimwi huna nadhani ni swali nalotakiwa kuligeuza upande wako na kwani ukimwi nini? mimi mbona sikuutafuta ulinijia wenyewe? na sasa nina miaka 6 ndani ya huo ugonjwa nimeuzoea ni sehemu ya maisha yangu walikuwepo walionicheka na kunikebehi leo hiii wamekuwa mifupa hivyo chunguza sana mdomo wako si jambo la kumnyooshe mtu kidole.
ReplyDeletejamani urais mtamu naona kama bwm amepungua sana ila itamsaidia kwa afya yake.
ReplyDeleteAnony wa tatu una busara sana. Inatosha mimi kukuambia hivi. endelea hivyohivyo.
ReplyDeletejamani kwani ukimwi nini mbona wetu wengi tuu tunaukimwi natunaishi vizuri tuu, kuna haja gani ya kutukana watu wewe unauhakika gani?
ReplyDeleteHata hivyo jiulize kwani huo ukimwi umeumbiwa nani?.
watu wengi tuu tuwagonjwa. sioni kama ni sahihi kutukana watu.
kwasababu mko open kusema hadharani kwamba mna ukimwi, Ningefurahi sana kama mge jitambulisha majina yenu ili tuwajue. Amen
ReplyDeletehahahahhahahahahhahah ni mimi mwaipopo
ReplyDeleteSina ugomvi na mtu wala sipendi kuwa na ugomvi na mtu yeyote awaye, ingawaje sura yangu ambayo sikuwa na nafasi kuiumba ina waudhi watu fulani. Napendelea jina langu kutotumika visivyo. Najua siwezi kukufikia anony uliyetumia jina langu hapo juu lakini naomba uniache na amani kidogo nilinayo tafadhali.
ReplyDeletejohn samahani sana tusameane ni utani, naona nilivuka mipaka kidogo naomba usiumie wala usichukie ni upendo nilionao juu yako ndo maana nikaona nikutanie, ujumbe nimepata hapo juu.
ReplyDeletesamahani dhihaka kama hii haitorudia tena,
kama umenisamehe naomba uniambie.
samahani sana bwana haikuwa kwa nia mbaya
Anony nimekusamehe bwana. Labda sikuelewa kuwa ulikuwa utani tu.
ReplyDeletehaaa nini wewe mwaipopo nani akuombe samahani, eti umenisamehe,eti unacheka
ReplyDeleteanony#3 na anony#5 msijali comments za watu wajinga. You are both very courageous people dont let anyone take that away from you, i wish you both a happy life.
ReplyDeleteKUJIFAHAMU MWENYEWE NI KUMJUA MUNGU , NA KUMJUA MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA!
ReplyDeleteUKIMNYOOSHEA MWENZAKO KIDOLE KIMOJA KIBAYA VIDOLE VIBAYA VITATU VINAKUGEUKIA WEWE NA KIMOJA KWA MUNGU ALIYEMUUMBA.HATUREKEBISHANI KWA KASHFA NA MATUSI HAISAIDII!