Home
Unlabelled
mheshimiwa na mzee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MMMM Ari mpya nguvu mpya imeshamkumba huyu, anahifadhi majambazi kwenye maskani yake sinza huko.yuko mashakani
ReplyDeleteWacha kupakazia watu wewe,,,, una uhakika wa unayosema au unazua tu. Ninyi ndiyo msiopenda maendeleo ya watu.
ReplyDeleteTuwekee picha ya Papa Msofee, kila siku kwenye nyimbo haishii kuimbwa...
ReplyDeleteMichuzi umuhimu wa huyu amina mpankanjia ni upi katika Tanzania
ReplyDeletemaana kila tukio lake kwenye blog yako lina vituko tu,ana elimu ganihuyu dada au michuzi una agenda/kitendawili ambacho unataka tutegue.Maana hata alivyochaguliwa alipigiwa kula na wananchi au ndo hao wakuteuliwa.Naomba kujua na nafikiri hata baadhi ya wasomaji wengine watatamani kumjua kwa dhati
maana sisi kama wananchi tunapaswa kujua ha wa waheshimiwa wetu.
Anon:
ReplyDeleteKama hujajua siku zooote hizi tangu awe mbunge,, yafaa nini kujua leo kwa sababu Michuzi kawepa picha?? Fuatilia magazeti utajua
sawa sawa michuzi tunashukuru wewe kiboko watu kuomba mara moja umetekeleza wajibu SAFI!!!! namuona mbunge kapumzika roho nyeupeeeee kifuani kwa bwana mapesa.
ReplyDeleteubunge wa kununua na kujuana
ReplyDeletekweli bongo noma yani ukiwa na mirioni chache ndio ubunge unao basi ngoja nirudi niupate paka uwaziri
ReplyDeleteMichuzi nakushukuru sana maana inaonesha ni kwa kiasi gani unatusikiliza.Hao wanao kutukana usiwajali kwani kwa umri wako na mazingira ya kazi yako nadhani utakuwa umekutwa na mengi kuliko hayo.Nakushukuru kwa picha mzuri sana.Nilisikitika sana nilivyosoma kuwa unataka kujitoa katika blog.Tafadhali usituachi bado tunakuhitaji sana.
ReplyDeleteMeddy amenenepa huyo!!
ReplyDeletehuyu medi mbona naona kama ana sijida ni swala tano au kuna jamaa walimmind kwenye kipaji cha uso?
ReplyDeleteKuna jamaa walimmind, hukupata taarifa, uliza uambiwe
ReplyDeleteJamani!! kummind ndio kumpiga au?
ReplyDeletendio maana yake!
ReplyDeleteShe is not classy at all. No respect. Nobody is interested in yr personal life Amina! You cannot represent youths.
ReplyDeleteHuyu chifupa na bwana wake ni matindiga fulani wa bara kule walioingia Dar kwa pupa fulani, wee cheki hili lijamaa la chifupa linavyoonekana hapa kama JAMBAZI LA KUTUPA!!!! Amina mwenye sianjabu ata kufua chupi kajifunizia alivyofika Dar!
ReplyDeleteAmina hana standard aache uswahili lakini shule inamatter vilevile kwenye mambo haya ya mjini. Tumhurumie bibie
ReplyDeleteHIVI NYIE MNAOANDIKA MATUSI HAPA HAMJISIKII FADHAA MIOYONI?MMELELEWA NA WAZAZI WENU AU NA MA-HOUSE GIRL?BLOGU HAIBOLEKI KWA MANENO YA KIJINGA!NENO HATA LIKIWA BAYA VIPI KAMA LINA UKWELI HAPAHARIBIKI NENO,SASA NYIE MNA HAKIKA NA MYASEMAYO?AU NI ROHO YA SHETANI/ROHO YA KWA NINI?TUJIREKEBISHE!
ReplyDeleteAcheni maneno ya mkosaji.Amina na mpakanjia wamependeza.Kama mna uhakika Mpakanjia ni jambazi, kwa nini msipeleke ushahidi kunakohusika?Na siku hizi mpaka namba za makamanda wa Polisi ziko waazi.
ReplyDeleteMichuzi unajitahidi kwa kazi yako ila unaharibu kutuwekea mijitu mishamba kama huyo mh. wenu mjinga mjinga shangingi la kutupa na mume atakuwa Mpakanjia? Hebu leta mambo ya maana tujue dunia iko wapi siyo Amina na Mpakanjia ndo picha za kutuonyesha. Hata sisi tunazo tena babu kubwa kuliko hiyo ya washamba wa bongo wasiojua Standard ya maisha zaidi ya kujishaua bila hata la maana wala mpango wowote
ReplyDelete