mh. amina chifupa akiwa na mumewe medi wa mpakanjia kwenye hafla ya harusi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. MMMM Ari mpya nguvu mpya imeshamkumba huyu, anahifadhi majambazi kwenye maskani yake sinza huko.yuko mashakani

    ReplyDelete
  2. Wacha kupakazia watu wewe,,,, una uhakika wa unayosema au unazua tu. Ninyi ndiyo msiopenda maendeleo ya watu.

    ReplyDelete
  3. Tuwekee picha ya Papa Msofee, kila siku kwenye nyimbo haishii kuimbwa...

    ReplyDelete
  4. Michuzi umuhimu wa huyu amina mpankanjia ni upi katika Tanzania
    maana kila tukio lake kwenye blog yako lina vituko tu,ana elimu ganihuyu dada au michuzi una agenda/kitendawili ambacho unataka tutegue.Maana hata alivyochaguliwa alipigiwa kula na wananchi au ndo hao wakuteuliwa.Naomba kujua na nafikiri hata baadhi ya wasomaji wengine watatamani kumjua kwa dhati
    maana sisi kama wananchi tunapaswa kujua ha wa waheshimiwa wetu.

    ReplyDelete
  5. Anon:
    Kama hujajua siku zooote hizi tangu awe mbunge,, yafaa nini kujua leo kwa sababu Michuzi kawepa picha?? Fuatilia magazeti utajua

    ReplyDelete
  6. sawa sawa michuzi tunashukuru wewe kiboko watu kuomba mara moja umetekeleza wajibu SAFI!!!! namuona mbunge kapumzika roho nyeupeeeee kifuani kwa bwana mapesa.

    ReplyDelete
  7. ubunge wa kununua na kujuana

    ReplyDelete
  8. kweli bongo noma yani ukiwa na mirioni chache ndio ubunge unao basi ngoja nirudi niupate paka uwaziri

    ReplyDelete
  9. Michuzi nakushukuru sana maana inaonesha ni kwa kiasi gani unatusikiliza.Hao wanao kutukana usiwajali kwani kwa umri wako na mazingira ya kazi yako nadhani utakuwa umekutwa na mengi kuliko hayo.Nakushukuru kwa picha mzuri sana.Nilisikitika sana nilivyosoma kuwa unataka kujitoa katika blog.Tafadhali usituachi bado tunakuhitaji sana.

    ReplyDelete
  10. Meddy amenenepa huyo!!

    ReplyDelete
  11. huyu medi mbona naona kama ana sijida ni swala tano au kuna jamaa walimmind kwenye kipaji cha uso?

    ReplyDelete
  12. Kuna jamaa walimmind, hukupata taarifa, uliza uambiwe

    ReplyDelete
  13. Jamani!! kummind ndio kumpiga au?

    ReplyDelete
  14. ndio maana yake!

    ReplyDelete
  15. She is not classy at all. No respect. Nobody is interested in yr personal life Amina! You cannot represent youths.

    ReplyDelete
  16. Huyu chifupa na bwana wake ni matindiga fulani wa bara kule walioingia Dar kwa pupa fulani, wee cheki hili lijamaa la chifupa linavyoonekana hapa kama JAMBAZI LA KUTUPA!!!! Amina mwenye sianjabu ata kufua chupi kajifunizia alivyofika Dar!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 03, 2006

    Amina hana standard aache uswahili lakini shule inamatter vilevile kwenye mambo haya ya mjini. Tumhurumie bibie

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 13, 2006

    HIVI NYIE MNAOANDIKA MATUSI HAPA HAMJISIKII FADHAA MIOYONI?MMELELEWA NA WAZAZI WENU AU NA MA-HOUSE GIRL?BLOGU HAIBOLEKI KWA MANENO YA KIJINGA!NENO HATA LIKIWA BAYA VIPI KAMA LINA UKWELI HAPAHARIBIKI NENO,SASA NYIE MNA HAKIKA NA MYASEMAYO?AU NI ROHO YA SHETANI/ROHO YA KWA NINI?TUJIREKEBISHE!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 21, 2006

    Acheni maneno ya mkosaji.Amina na mpakanjia wamependeza.Kama mna uhakika Mpakanjia ni jambazi, kwa nini msipeleke ushahidi kunakohusika?Na siku hizi mpaka namba za makamanda wa Polisi ziko waazi.

    ReplyDelete
  20. Michuzi unajitahidi kwa kazi yako ila unaharibu kutuwekea mijitu mishamba kama huyo mh. wenu mjinga mjinga shangingi la kutupa na mume atakuwa Mpakanjia? Hebu leta mambo ya maana tujue dunia iko wapi siyo Amina na Mpakanjia ndo picha za kutuonyesha. Hata sisi tunazo tena babu kubwa kuliko hiyo ya washamba wa bongo wasiojua Standard ya maisha zaidi ya kujishaua bila hata la maana wala mpango wowote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...