Home
Unlabelled
studio
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi bwana shemeji studio kama hii ina cost kiasi gani? tupatie somo tuweze kujua.je zinalipa bongo? kama zinalipa tuweze kutafuta na kuja kuwekeza.
ReplyDeletempenzi umeshaambiwa moja wapo ya 80 jamani tafuta kitu kipya.
ReplyDeleteaisee dogo hapo unanichengua na wimbo wako mic nadata/nashika nimesahau kidogo
ReplyDeleteaisee ulipiga bao wanamuziki wengi sanaa na dogo blue mlitengeneza video kali sana niliikubali kuliko nyingi zilizowahi kutokea bongo.
mbona usa zipo zaidi ya 80 na watu bado wanapata mshiko.
ReplyDeletesasa usa tutafananisha na bongo yetu jamani?
ReplyDeletehuyo ndiyo snoop lee siyo?
ReplyDeleteamezidisha, hamna studio 80 bongo....hata kama zipo nyingi nafasi ya kufanikiwa bado ipo, ni wewe tu na ujanja wako.
niambieni ni kiasi gani basi
ReplyDeletekwa kweli nitakudanganya mie wa huku kukuambia bei, maana siijui na hao wenye mastudio, bila shaka kuhofu ushindani, hawataji. mi nashauri uende duka la vyombo vya muziki, ulizia, itakuwa rahisi. hizo 80 nnazosema ndo zilosajiliwa rasmi, hapo sijataja za vichochoroni na vyumbani. kwa haraka haraka dar peke yake pana studio (zenye usajili na zisijosajiliwa) kama 130 hivi... zinazotamba ni pamoja na aegis records (mikocheni mlalakuwa), Master J (Ostabei/masaki), Backyard (Mtaa wa Bibi Titi, juu ya hosteli ya hostel sido), sound crafters (temeke, karibu na kwao kina Cisco Mtiro), Bongo records (ipo kijitonyama, sayansi), don bosco (upanga), rtd (barabara ya nyerere/pugu, sophia records (mwananyamala kwa komakoma) n.k.
ReplyDeleteakhasenteni kwa ushauri na nitafanya hivyo.
ReplyDelete