studio ya ali baucha (njano) ambayo ni moja katia ya kama 80 zilizopo dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hivi bwana shemeji studio kama hii ina cost kiasi gani? tupatie somo tuweze kujua.je zinalipa bongo? kama zinalipa tuweze kutafuta na kuja kuwekeza.

    ReplyDelete
  2. mpenzi umeshaambiwa moja wapo ya 80 jamani tafuta kitu kipya.

    ReplyDelete
  3. aisee dogo hapo unanichengua na wimbo wako mic nadata/nashika nimesahau kidogo
    aisee ulipiga bao wanamuziki wengi sanaa na dogo blue mlitengeneza video kali sana niliikubali kuliko nyingi zilizowahi kutokea bongo.

    ReplyDelete
  4. mbona usa zipo zaidi ya 80 na watu bado wanapata mshiko.

    ReplyDelete
  5. sasa usa tutafananisha na bongo yetu jamani?

    ReplyDelete
  6. huyo ndiyo snoop lee siyo?

    amezidisha, hamna studio 80 bongo....hata kama zipo nyingi nafasi ya kufanikiwa bado ipo, ni wewe tu na ujanja wako.

    ReplyDelete
  7. niambieni ni kiasi gani basi

    ReplyDelete
  8. kwa kweli nitakudanganya mie wa huku kukuambia bei, maana siijui na hao wenye mastudio, bila shaka kuhofu ushindani, hawataji. mi nashauri uende duka la vyombo vya muziki, ulizia, itakuwa rahisi. hizo 80 nnazosema ndo zilosajiliwa rasmi, hapo sijataja za vichochoroni na vyumbani. kwa haraka haraka dar peke yake pana studio (zenye usajili na zisijosajiliwa) kama 130 hivi... zinazotamba ni pamoja na aegis records (mikocheni mlalakuwa), Master J (Ostabei/masaki), Backyard (Mtaa wa Bibi Titi, juu ya hosteli ya hostel sido), sound crafters (temeke, karibu na kwao kina Cisco Mtiro), Bongo records (ipo kijitonyama, sayansi), don bosco (upanga), rtd (barabara ya nyerere/pugu, sophia records (mwananyamala kwa komakoma) n.k.

    ReplyDelete
  9. akhasenteni kwa ushauri na nitafanya hivyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...