Home
Unlabelled
zawadi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi unanifurahisha sana jamani kila nikifungua mtandao wangu picha mpya...wanamtandao wote nachukua nafasi hii kuwatakia pasaka njema na Mungu awabariki sana.
ReplyDeleteAlafu Kaka Michuzi wewe unajua kujifagilia!
ReplyDeleteLakini sio mbaya. Kazi watu si wanaona unafanya!
Endeleza bidii hiyo.
Anony wa kwanza nashukuru kwa salamu zako za Pasaka. Nakutakia Pasaka njema na wewe. Mungu akulinde na akutangulie katika lolote ulifanyalo.
ReplyDeleteNa wanablogu wote Heri ya Pasaka (kwa mnaoamini)
Hongera Issa Michuzi kwa zawadi hiyo!
ReplyDeleteBADO ZAWADI YA BLOGU BORA,UTADHANI UMEIFUNGUA MIAKA KADHAA ILIYOPITA!KUNA BLOGU ZA WATU ZINADODA!
ReplyDelete