zawadi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. michuzi unanifurahisha sana jamani kila nikifungua mtandao wangu picha mpya...wanamtandao wote nachukua nafasi hii kuwatakia pasaka njema na Mungu awabariki sana.

    ReplyDelete
  2. Alafu Kaka Michuzi wewe unajua kujifagilia!

    Lakini sio mbaya. Kazi watu si wanaona unafanya!

    Endeleza bidii hiyo.

    ReplyDelete
  3. Anony wa kwanza nashukuru kwa salamu zako za Pasaka. Nakutakia Pasaka njema na wewe. Mungu akulinde na akutangulie katika lolote ulifanyalo.

    Na wanablogu wote Heri ya Pasaka (kwa mnaoamini)

    ReplyDelete
  4. Hongera Issa Michuzi kwa zawadi hiyo!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2006

    BADO ZAWADI YA BLOGU BORA,UTADHANI UMEIFUNGUA MIAKA KADHAA ILIYOPITA!KUNA BLOGU ZA WATU ZINADODA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...