hatimaye msafara wa gari lililobeba mwili huo ukapita taratibu kuelekea msasani. njia nzima toka uwanja wa ndege hadi huko ilikuwa imefurika watu namna hii kutwa nzima!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. "More goose bumps"!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2006

    samahani michuzi mwili wa nani?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2006

    hayati merkizedek sanare

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2006

    siyo ni JK Nyerere.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 10, 2006

    Michuzi unaona sasa! Natoa maoni unapotuhabarisha kwa picha mbili tatu za tukio moja madhani ni vema ukaanza kubandika ile ya mwisho na kumalizia na ile uliyokusudia kuwa ya mwanzo. Hilo litasaidia wenzangu na mimi tunaoanzia juu kwenda chini. Swali hilo hapo juu lisingekuwepo kama huyu jamaa angeipata habari yote kwa kuanzia juu. Ni maoni tu

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 10, 2006

    ni kweli anony wa hapo juu maana mimi ndiye niliyeuliza wa pili pale juu nilidhani ni sanare na nikashtuka sana ina maana ndio alipata umati wote huo na nikataka niendelee kuandika sana kwa kuuuliza nikaamua niache kwanza nisome ndio nikagundua ni jkn kama alivyoshauri hapo juu ni kweli kabisa kama picha zinajitegemea sawa kuanzia popote lakini kwa zenye maelezo ya kitu kimoja juu kabisa weka story inapoanzia.

    ReplyDelete
  7. sawa maanony 8:54 na 11:37, nimewasoma. roja endi auti. unajua tena; sie wengine huku tongotongo bado machoni...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...