Home
Unlabelled
hatimaye
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"More goose bumps"!
ReplyDeletesamahani michuzi mwili wa nani?
ReplyDeletehayati merkizedek sanare
ReplyDeletesiyo ni JK Nyerere.
ReplyDeleteMichuzi unaona sasa! Natoa maoni unapotuhabarisha kwa picha mbili tatu za tukio moja madhani ni vema ukaanza kubandika ile ya mwisho na kumalizia na ile uliyokusudia kuwa ya mwanzo. Hilo litasaidia wenzangu na mimi tunaoanzia juu kwenda chini. Swali hilo hapo juu lisingekuwepo kama huyu jamaa angeipata habari yote kwa kuanzia juu. Ni maoni tu
ReplyDeleteni kweli anony wa hapo juu maana mimi ndiye niliyeuliza wa pili pale juu nilidhani ni sanare na nikashtuka sana ina maana ndio alipata umati wote huo na nikataka niendelee kuandika sana kwa kuuuliza nikaamua niache kwanza nisome ndio nikagundua ni jkn kama alivyoshauri hapo juu ni kweli kabisa kama picha zinajitegemea sawa kuanzia popote lakini kwa zenye maelezo ya kitu kimoja juu kabisa weka story inapoanzia.
ReplyDeletesawa maanony 8:54 na 11:37, nimewasoma. roja endi auti. unajua tena; sie wengine huku tongotongo bado machoni...
ReplyDelete