
leo rais wa zanzibar amani karume kala kiapo mbele ya jaji mkuu barnabas samatta ili kuchukua nafasi yake kwenye baraza la mawaziri kwa mujibu wa katiba. kabla ya hapo rais wa zanzibar alikuwa pia makamu wa kwanza wa rais na alikula kiapo kama hicho mbele ya rais kama ambavyo wazee wetu wapendwa wanaonekana wakifanya


Kaka Michuzi hapa umechapia kidogo unatuambia Jaji Samatta akimwapisha Hayati Sheikh Abeid Amaan Karume duuh huyu bwana enzi hizo alikuwa shule ya Sekondari bado kijana mdogo
ReplyDeleteanony soma vizuri jina la rais wa zanzibar niliemtaja. asante kwa mawazo na uchangiaji
ReplyDeleteKaka michuzi kama ni hivyo basi hiyo picha umeikosea au badili maneno ili yaendane na picha iliyopo
ReplyDeleteWE ABDIAWAMO,HEBU SOMA TENA KAMA MARA MIA MOJA ILI UELEWE.
ReplyDeleteHAPO KILA KITU KIPO FIT!
UNAAMBIWA LEO KARUME AMEAPA(SIO PICHA HII)ILA INAFANANISHWA NA YALIYOTOKEA ZAMANI ZA KALE KATIKA PICHA HII.(PICHA YA KIAPO CHA KARUME MTOTO IPO,WE ENDELEA KUBLOGU UTAIONA.TCHAO!