kuna ndugu kaomba nirudie hii picha nikwia na rais wa zamani wa zambia kenneth kaunda dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2006

    MICHUZI,MZEE ALICHEMSHA KIDOGO MWISHONI.SASA HAPATI HESHIMA ALIYOSTAHILI NDANI YA NCHI YAKE,WANGEMUIGA BABA WA TAIFA.
    HAWA WAZEE WALIFANYA MAMBO MAKUBWA KWA WAKATI WAO;WALIPASWA SASA KULA NCHI NA SIO KULIWA NA NCHI!TEH TEH TE!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2006

    Very Nice picture. Looking good Michuzi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2006

    Sasa Michuzi pamoja na kwamba hii picha ni nzuri sana umeirudia...Unaanza kuishiwa na picha? Kwasababu hii ulishaiweka iko kwenye kumbukumbu zetu. Mimi natembelea blog yako kama dini!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2006

    Vipi mzee Michuzi wewe ni mtu wa system!haitoshi kuwa mwandishi tu kupiga picha kwa karibu sana na kingunge kama huyu,mmh!hongera sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2006

    Kaka michuzi napenda nikupe hongera kwa kweli!!! You are role model back home!! Nilieenda kwenye ofisi yako ya photo point pale Mayfair Plaza kwa kweli si mchezo!!!
    Safi sana, kama watanzania wengi wangekuwa na moyo na determination kama zako tungekuwa mbali sana!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2006

    Vipi Michuzi hukwenda kwenye mazishi ya yule mwanae KAUNDA aliyekufa kwa UKIMWI?Tupe picha ya mazishi yalivyokuwa alafu tuwekee picha ya Kaunda alivyotembelewa na Mwalumu kule Gerezani katika mgomo wa kula.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...