Home
Unlabelled
kk na mie
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI,MZEE ALICHEMSHA KIDOGO MWISHONI.SASA HAPATI HESHIMA ALIYOSTAHILI NDANI YA NCHI YAKE,WANGEMUIGA BABA WA TAIFA.
ReplyDeleteHAWA WAZEE WALIFANYA MAMBO MAKUBWA KWA WAKATI WAO;WALIPASWA SASA KULA NCHI NA SIO KULIWA NA NCHI!TEH TEH TE!
Very Nice picture. Looking good Michuzi
ReplyDeleteSasa Michuzi pamoja na kwamba hii picha ni nzuri sana umeirudia...Unaanza kuishiwa na picha? Kwasababu hii ulishaiweka iko kwenye kumbukumbu zetu. Mimi natembelea blog yako kama dini!!!
ReplyDeleteVipi mzee Michuzi wewe ni mtu wa system!haitoshi kuwa mwandishi tu kupiga picha kwa karibu sana na kingunge kama huyu,mmh!hongera sana.
ReplyDeleteKaka michuzi napenda nikupe hongera kwa kweli!!! You are role model back home!! Nilieenda kwenye ofisi yako ya photo point pale Mayfair Plaza kwa kweli si mchezo!!!
ReplyDeleteSafi sana, kama watanzania wengi wangekuwa na moyo na determination kama zako tungekuwa mbali sana!!!
Vipi Michuzi hukwenda kwenye mazishi ya yule mwanae KAUNDA aliyekufa kwa UKIMWI?Tupe picha ya mazishi yalivyokuwa alafu tuwekee picha ya Kaunda alivyotembelewa na Mwalumu kule Gerezani katika mgomo wa kula.
ReplyDelete