Home
Unlabelled
madinda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa michuzi mumewe kabaki na nani? au ndio kamshauriaende huko? na je wana mpango gani ukiachia mbali kutafuta pesa?
ReplyDeletehee jesta mjamzito? ujauzito wa mzungu wake bila shaka Mungu ambariki ajifungue salama.
Nalisoma kwenye DarHotwire, kuwa aisha kaachana na mumewe, yaani Fikiri, lakini kasema katu hatoaacha kutumia ubin wa mumewe yaani MAdinda kwa hiyo sharti la huyo atakayemuoa tena basi ajue hilo jina Madinda litaendelea kuwepo kutokana na jinsi ambavyo maLOVE yalimchukua.. Hivyo ndo alidai mwenye Aisha..
ReplyDeletenasikia jamaa jambazi
ReplyDeleteDuh Anony hapo juu acha mpakazo unaweza kusababisha akina Tibaigana wahamie nyumbani kwake bure maana nasikia siku hizi wakihisi tu wana wewe.
ReplyDeleteKulingana na taarifa nilizonazo toka ndani ya jeshi la polisi, huyu yumo ndani ya listi ya watu ambazo wapo kwenye uangalizi mkali sana, mda si mrefu watamrukia. Ndio maana siku hizi Mapedeshee hawataki tena kuimbwa, hakuna cha papa msofe wala kizaizai
ReplyDeletendo maana aisha anamkimbia kashaona hapa
ReplyDeletebora aanze mapema mambo ya kwenda segerea kucheki mume wapi na wapi?
tafadhali michuzi unaweza kunisaidia picha ya nguza viking na wanawe walio jela PICHA ZA MUDA ZA SASA? maana niliona picha moja walipoenda kukata rufaa ilikuwa inatia uchungu na nilishindwa kumrikoginaizi vikingi.
jamaa ukimwangalia anaonekana jambazi bila hata kuambiwa mhhh michuzi isije ikawa noma hawa watu wakaona unawaanzishia habari maana siye uwanja firriiiiiiiiiii entiri endi ekzitiii chochote twachotaka twasema tu ukizingatia mikono na komputa mali yetu kama unaona si nzuri tuambie tupunguze makali brooo.
ReplyDeleteMichuzi hebu tufafanulie hivi kwani aisha bado ni MKE wa Fikiri?
ReplyDeleteJamaa kweli noma, sasa Michuzi tunaomba picha ya Vikogo walio majambazi yule mchaga wa manzese na yule check bob mzee msingida....
ReplyDeleteaise huyu mchaga sio yule wa manzese mwizi ni yule wa kariakoo, A.M umechanganya mambo hata mimi nimeomba sana picha zao lakini hatuwekewi sijui kwanini?
ReplyDeleteunacheza na jambazi nini wewe michuzi hata usijaribu sasa naona watu wana utani na life lako.
ReplyDeletehuyu jamaa kanikumbusha mapedeshee wa bongo kama yule aliyeuawa kule kasoro bahari, aisee Michuzi Papa Osama yuko wapi mbona hasikiki kabisa na hata pale Dom nikienda mitumbani simuoni ama?
ReplyDeleteinasemekana Aisha alishaachana na Madinda na hata jina siku hizi anaitwa Aisha Mbegu AKA queen Aisha kwa hiyo sikweli kwamba hataki kubadili jina la mumewe wa zamani halafu inasemekana hawakuoana bali walikuwa wanaishi pamoja tu
ReplyDeleteAisha kwa sasa yupo SAUDIA,na wametengana na Fikiri(Mungu si Peter wanaweza kujivinjali tena).Michuzi hebu lete habari za maendeleo ya kunengua Twanga bila Aisha.
ReplyDeleterhxoqsa pengine soma hapa na pia ufanye utafiti zaidi...
ReplyDeleteSitaachana na Madinda- Aisha
2006-04-15 08:21:11
Na Swedy Kachenje
Licha ya kuwa jina lake halisi ni Aisha Mohamed, mnenguaji Aisha wa African Stars ’Twanga Pepeta International’, ametoa sharti gumu kwa mwanaume yeyote anyewania kumuoa akisema kuwa kamwe hataacha kulitumia jina la barafu wake wa moyo aliyemwagana naye kitambo, Fikiri Madinda.
Aisha amemueleza mwandishi wa habari hii katika mahojiano ’spesho’ ya maisha nje ya sanaa kuwa kamwe, hatakuwa tayari kulitupa jina la Aisha Madinda ambalo sasa ni maarufu mno midomoni mwa wapenzi wa muziki nchini, hasa wale wa bendi yake ya Twanga Pepetea.
’Nitaendelea kuitwa Aisha Madinda kwa sababu limenikaa na linaendana mno na mie... Halafu ndio ninaloendelea kulitumia katika kazi na hata kwenye shughuli zangu za kila siku, siwezi kuliacha kamwe,’ akasema Aisha ambaye alidodoswa na mwandishi sababu za yeye kujiita kwa jina hilo la pili ambalo ni la mwanaume anayedai kuwa ameshatengana naye.
Zaidi, katika namna ya kuzuga ili asionekane ni kama anayejipigia debe tena kwa mahabuba wake wa zamani, Aisha akasema: ’Nakubali kuwa nimemmisi sana Madinda (Fikiri)... Lakini nahisi sijapungukiwa na chochote kwakuwa mbali naye. Bado nadunda na mambo yangu ni shwari.’
Aisha ambaye amejitwalia umaarufu mkubwa kutokana na namna anavyoipamba safu ya unenguaji Twanga kutokana na jumbile lake ’tamu’ na cheza yake ya kupagawisha, akapigilia msumari wa moto kwa mwanaume yeyote atakayejitokeza kwake hivi sasa kwa nia ya kumuoa akisema: ’Nasisitiza kuwa nikimpata mwanaume wa kupendana naye, nitamuomba akubali niendelee kulitumia jina la Madinda kwa namna yoyote ile.
Hata kama atapania kunioa, nitamkubalia kama atazingatia makubaliano haya... Vinginevyo, ni bora niendelee kuwa ’singo’ kwa sababu kazi ninayoifanya pamoja na biashara zangu kibao nje ya kazi hunifanya nisiyumbishwe na changamoto za kimaisha katika kujihudumia mwenyewe na familia yangu.’
Kuthibitisha kuwa mambo yake ni swafi na kwamba kamwe hatababaishwa na mwanaume atakayepinga dhamira yake ya kujitambulisha kwa jina la Madinda, Aisha akamfichulia siri ’kiduchu’ mwandishi juu ya kile kinachompa jeuri kimaisha: ’Namshukuru Mungu kwa kila hali.
Nina vibanda viwili safi vya kulala, usafiri ninao, saluni ya kike, kiwanja.
• SOURCE: KOMESHA
Aksante sana kwa hiyo taarifa ya Aisha, sasa michuzi tuwekee na picha Lilian internet maana huyu ndio alikuwa kiboko ya huyu Aisha
ReplyDeleteILA FIKIRI ANA MOYO,AMEACHA AU AMEACHWA?WE FIKIRI HEBU REKEBISHA KICHWA HICHO!HUMU WATU WOTE WANAPATA TUSI ANGALAU MOJA LAKINI SIO AISHA,INA MAANA WATU WANAMKUBALI.MICHUZI EBU JARIBU KUMSHAURI FIKIRI AFIKIRIE VIZURI!AISHA ANA DISPILINI YA MWANAMKE,ILE KAZI SI MCHEZO KWA MTU MJINGAMJINGA.
ReplyDeleteLakini kweli,mtoto kama huyo unaacha au unaachwa?Kwanza wanaompenda Aisha wapo kibao na mie ndani.
ReplyDeleteHuyu Jesca ni mzuri ila mkorogo ndo unamharibu,anakuwa kama kizee.
ReplyDeletemmh!husimfananishe Jesca na Aisha, Aisha ana viwango!
ReplyDeleteFIKIRI RUDISHA MTOTO HUYO!ACHA HIZO!
ReplyDeleteMichuzi,kontakti za Aisha uarabuni unaweza ukazipata?Kama ndio naomba jibu nami ntawasiliana na wewe laivu na sio kama anony,nina ajenda ya siri na dada huyu!Fikiri si anajidai amesusa?
ReplyDelete