
miss tz wa kwanza theresa shayo akiteleza ukingoni mwa bwawa la hoteli ya kilimanjaro siku ya shindano la kwanza la ulimbwende mwaka 1967. wazee kuona hivyo wakayapiga top mashindano hayo ambayo yakaja ibuka tena mwaka 1964 na kuendelea hadi hii leo.
naona ndugu wengi hawana kumbukumbu nzuri, hivyo kuanzia kesho naweka picha na habari za miss tz moja moja kuanzia 1994. stei tyunnndd....


Asante sana Michuzi, sasa je baada ya hapa kulikuwa na uwakilishi katika mrembo wa Dunia ? nasema hivi kwasababu ukweli naona tutajifunza mengi kama tutataka kufanya vizuri kwa kuangalia hawa akina TERESA walikuwa wanafanya vipi.Yuko wapi huyu kwasasa?
ReplyDeleteMichuzi What's Up with Misses?? Tushachoka sasa hebu anza kuprmote Wacheza sasa enh!. Hivi unadhani hilo kombe la dunia tutacheza kweli hiyo 2010 wakati mchezaji wa taifa hajulikani hata hapo Moro. Ushauri wa kufanya: Kuanzia leo atleast tuwekee Picha ya mchezaji mmoja mmoja wa National Team na historia yake. Wakina Gulla Joshue tunawasikia tu hatujawaona. Au unataka mpaka wa make Big Time ndio michuziuanze kuwafagilia?? Oyah Miroast nilikuomba picha ya China anamtesa marehemu Gagarino. Nayo unakunja?? Acha hizo usikunje wote sisi Yanga dam dam. Na hiyo Blogg Colour yako vipi Michuzi?? Next time weka Njano na Kijani. Nasubiri picha sitoki hapa najua utazipost soon.
ReplyDeleteUnajua kwasasa kuna mabo mawili ambayo Michuzi kayazingatia na hasa kutokana na ombi lako nadhani atazingatia.Kitaifa hapa TZ kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Tz 2006 kimeanza hivyo ni chnangamoto kuweka picha za mamiss tuone tulikotoka na hata wazo la kuweka mmoja mmoja linafaa. Pia kidunia sasa tuko katika maandalizi ya kombe la dunia na hili nalo atalifanyia kazi kwa kuaza kuweka picha za wachezaji wa dunia sasa sijui kama ataanzia na za akina China ama la, TUSUBIRI,nayo ni kazi hii tumpe hongera kama shukjrani zetu.
ReplyDeleteKatika kinyang'anyiro cha mrembo wa dunia mwaka 1967 kilichofanyika London uingereza tarehe 16 mwezi novemba mwaka 1967, mrembo wa tanzania Theresa Shayo aliishia raundi ya kwanza.kwa upande wa bara la afrika ghana ndiyo iliingia nusu fainali lakini mshindi aliibuka mrembo wa PERU akifuatiwa na argentina na wa tatu guyana.
ReplyDeleteJamani kweli vimiguu vya wachaga huwa vinachekesha jamani.
ReplyDeleteNi kweli michuzi umeibukia kwenye mamiss vitu vya maana huleti. Ukoje wewe mbona una picha za maana nyingi tu? Tatizo liko wapi? UNABORE BWANA.
ReplyDeleteKwa sasa atakuwa na miaka 59 kama kipindi hicho alikuwa na sitini ....
ReplyDeleteOppppssss!!!Kwa sasa atakuwa na miaka 59 kama kipindi hicho alikuwa na 20 ....
ReplyDeleteNathani wanaotaka picha za michezo wachecki katika blogu ya athumani
ReplyDeletehttp://www.blog.co.tz/athumani/
Anonymous said...
ReplyDeleteNi kweli michuzi umeibukia kwenye mamiss vitu vya maana huleti. Ukoje wewe mbona una picha za maana nyingi tu? Tatizo liko wapi? UNABORE BWANA.
4:47 PM, May 25, 2006
jamani eeee. mtu kama huyu nimjibuje wakati hata simjui, sijamkaribisha na wala hanilipi. sijui inglishi ningejua ningemjibu: what's good for the goose is bad for the hen. lakini ah, dno hivyo tena, ni kweli na-bore (shimo)ama vipi mjamaa, whoever, wherever ur. wewe ndo unaboa
We Michuzi huna haja ya kumjibu Ntu kama huyo achana naye na usipoteza muda wako kusoma. Halafu wale wanaotukana humu bana itabidi uanza kunukuu IP zao kama wakiendelea na tabia hiyo basi na wasikuje hapa.
ReplyDeleteKama ulivosema hujamualika sasa maneno mingi ya nini?
mICHUZI NAONA UNATUCHANGANYA MASHINDANO YATAPIGWAJE MARUFUKU MWAKA 67 HALAFU YARUDISHWE MWAKA 64. HIYO MIAKA YAKO UNAHESABU VIPI? kiarabu nini?
ReplyDeleteAnony 10:17,
ReplyDeleteNafikiri Michuzi alimaanisha 1994
huyu enzi hizi hawezi kushinda, paja utafikiri maradona
ReplyDeleteHuyu ndiye Mama Makata sasa hivi??
ReplyDelete