jenerali ulimwengu akimpongeza miss upanga 2006 ngitika mwaka jana usiku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2006

    hawa mademu wote sijaona bomba hata mmoja

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2006

    sasa we unategemea kuona demu bomba upanga?kule si wamejaa wanyakyusa tu,akina AY,GK,na dada zao....huwezi kuta mzuri kule hata siku moja...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2006

    Upanaga mbali ya kuwa na wanyakyusa wengi, vile vile kuna WAHINDI wengi, mbona hawajitokezi kupigania miss Upanga!! Au ndo zile zao kutubagua ndani ya nchi yetu?? Reved. EVM

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2006

    yap, tungejaribu kupeleka muhindi kwenye mashindano ya dunia labda tungeshinda.....wangesahau kwamba ametoka tz, au labda ingekuwa shock ya mashindano (free publicity)!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2006

    Jamani madhumuni ya Miss Upanga, Miss Tabata, Temeke n.k ya nini jamani? Kwa nini tunapoteza muda, na pesa katika maonyesho ya urembo wakati hatuna vyakula, hatuna shule nzuri, watoto wanakaa chini mashuleni, hatuna chochote people?
    Please Michuzi, put some usefull photos we can debate on your blog. I know your studio is a big player on these fashion shows, but lets be realistic here these girls are gonna end up nowhere.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2006

    wewe michuzi mbona unanichanganya hapo Jenerali anampongeza miss Upanga 2006 mwaka jana usiku..????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...