pamoja na kuwa niko ughaibuni, naku-miss sana bongo, na watu wake. huyu hapa faraja kotta (shoto) akiwa na mmoja wa waonesha mitindo wanaokuja kwa kasi bongo. hii picha nilipiga bongo siku ya onesho la mavazi la asia idarous

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2006

    ngoma bk hiyo...piga ua

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2006

    MICHUZI
    Tunajua uko ughaibuni kwa hiyo usijifagilie fagilie kila siku kwamba uko huko, umeshatuambia wiki nzima hii tushasikia

    ZEMARCOPOLO

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2006

    hivi watz matakuja lini kuridhika japo kidogo maana tunajua binadamu haridhiki hata apewe nini?? lakini basi japo kidogo basi...mliomba michuzi atoe picha
    na kuwapa japo picha kidogo ya mambo yaendeleayo huko sasa mwataka nini tena? UHAI WAKE?

    michuzi sina la zaidi hapo wewe ni mtu pekee unaweza kutuburudisha kwa njia ya picha na maelezo ''current Issues'' sasa tuseme nini tena michuzi zaidi ya SHUKRANI?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2006

    Ni kweli kabisa Zemarcopolo. Kila siku Brazil Brazil utadhani mara yake ya kwanza kwenda Ughaibuni. Hee, we are tired of Brazil Brazil. Leta mpya. Wiki nzima!!!!!!!!!!! Una bore sasa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2006

    Hao hapo juu ndio Binadamu hawakosekani sehemu yeyot wapo tu. Dunia ya musa tunaogolea humu humu wote hamkosekani.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2006

    Hawa Wasegeju wametoka wapi nao? Hii blogu ni ya Michuzi, ana hiari yakuweka kile anachotaka ninyi ni akina nani hadi muanze kumpangia kitu chakuweka humu? Laleni mbele huko kama anakuboa kwenda kanywe mataputapu sio kuleta comment za ajabu ajabu humu. Michuzi malizia mwezi huu kwa kuweka picha za Brazil tu ili hao Wakalamba waboreke zaidi pengine watakoma kuja humu na blogu kubaki ya watu wanaothamini mchango wako.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2006

    Mzee Zemacopolo nakuaminia endeleza mjomba shusha data tu mjomba. Nyie wengine,, Msitake kutishia maisha au sio wajomba,, kama hamtaki comments basi ondoeni hii sehemu ya comments watu waangalie picha tu. Lakini kila mtu ana uhuru wa kusema chochote, kwa iyo msiwatukane wenzenu hapo juu bila sababu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2006

    the grill umenifurahisha sana hawa watu hawakosekani kila mahala. lakini wakianza za kuleta tutawakomesha unakumbuka tulivyowaelekeza mwaipopo na makene mpaka sasa wameacha kutukana humu bloguni.

    sasa hivi majamaa wamekuwa na adabu kabisa.

    michuzi raha jipe mwenyewe usisubiri raha kupewa na mtu, kama raha yako kujifagilia we jifagilie bwana hakudai mtu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 17, 2006

    Ama kweli debe tupu........
    Ano hapo juu usijidanganye, huwezi kumkomesha Mwaipopo na Makene, wote tumo humu humu ila na sisi tumeamua kutumia Ano kama nyie wapuuzi wa mawazo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 17, 2006

    Blogu:
    Huyu jamaa "ZERMACOPOLO" ndiyo huyo huyo mmoja wala msiyumbishwe, mimi namjua sana huyu mtu nimesoma naye tangia primary ana tabia hii hii ya kuzugazuga, ni kweli kabisa awe amiesaini blue au aandike chini ni huyu huyu mmoja hakuna mwingine tusidanganyane hapa wote watu wazima.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2006

    Hii picha ni ya warembo. Discussion zenu binafsi tafuteni pahala pake. Mjifunze kudiscuss juu ya picha na si vinginevyo...

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 18, 2006

    matatizo matupu uzuri sio sura na tabia pia watu wengine walikuwa wanafunzi bora wa kupika chakula cha mwalimu mkuu pamoja na ulalo

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 18, 2006

    Michuzi,
    Weka picha za Brazil mpaka hao wanaokuonea donge wajinyonge. Hawakulazimishwa kutembelea blog yako. Mijitu mingine bwana! Badala ya kudiscuss hii picha wanaleta Ushe@#%. Big Up michuzi. Tunamwigie picha siye tunaokufagilia

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 18, 2006

    Kama huna cha kusema kuhusu picha shut tha fuck up!!!! Supa sta kip doin wat ur doin.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 18, 2006

    Kama huna cha kusema kuhusu picha shut tha fuck up!!!! Supa sta kip doin wat ur doin.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 18, 2006

    Huyo cheusi mangara mzuri kishenzi...

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 18, 2006

    Nilishakula huyo

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 18, 2006

    ha ha ha ha sasa manony mnatukanana wakati hamjuani teh teh teh yaani anony wa kwanza hasira zinapanda anatukana wee anafuata anony wa pili mhh kweli umeshatukana jamii iliyokuzunguka unayoijua yotee ukaona uje uimalizie kwenye blog yetu tukufu....maskini weee watz tunakwenda wapi jamani?

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 18, 2006

    MICHUZI NAYEMJUA MIMI HAWEZI KUKASIRIKA KWA UJINGA HUUU ALIYATEGEMEA HAYAA

    KEEP ON BROO....WE LOVE U MICHUZI!!!

    ReplyDelete
  20. asante tanzanian_oslo. ndo kwanza nimetua bongo, na ntafanya hivyo punde

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 19, 2006

    Wee Mi soup leta mambo kama umeshatua Bongo ni bora manake tumemiss uhondo. Ughaibuni inatosha sasa heeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 20, 2006

    Hivi huyu ndio alikuwa miss tanzania kweli? Basi basi bwana.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 22, 2006

    sasa ukisikia msichana wa kimakonde ndiyo huyo, yupo bomba sana jamani, nashani kama atajitunza akiwa hivyo basi nina uhakika atakuwa na soko kubwa sana kwa wachukia mikorogo.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 24, 2006

    Huyu ni mtanzania halisi(mwafrika halisi)ingawa bado rangi yake haijafikia ya bendera yetu.Lakini ukipata bahati/laana ya kuniona mimi live!Huyo dada kwangu ni mweupe jamani,weusi tupo ila ndio hatuna bahati ya kuonana na michuzi!Kama huyu ni mweusi,wanubi ni rangi gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...