Home
Unlabelled
ooyaaaaah!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, naomba unipe tarehe kamili kwa sababu nataka nimtumie hela ndugu zangu waweze kujipatia machine. Halafu mambo ya ushuru yatakuwepo au? James
ReplyDeleteGLOBAL WARMING TUU
ReplyDeleteMichuzi tunaomba full detail kuhusu huo mnada, upo lini na term zake zitakuwaje. Natanguliza shukurani.
ReplyDeleteMichuzi kuna habari hujaifafanua hapa kuhusu magari haya. Kuna tyaarifa kuwa ushuru wa forodha ni mkubwa na ni kikwazo kwa watanzania wengi walioko ughaibuni kushindwa kutuma mizigo na hayo magari nyumbani hali inayokwamisha maendeleo ya familia zao na nchi yetu. Naomba niahamishe kuhusu gharama za ushuru zilivyo kwa sasa na nini nafasi ya watanzania wazawa wanaoleta mizigo kwa ajili yao na familia zao. Vipi Wabunge wanaposafirisha magari na mizigo huwa nao wanalipa kodi hizo au zinapindishwa na mwisho nifahamishe kuhusiana na hao wanaotazama magari yao waliyosotea kuyasaka sasa yanauzwa kisa kodi!
ReplyDeleteGrill nataka kuwasiliana na wewe.
ReplyDeleteAnony wa 1:46 PM nipe email yako nitakuandikia.
ReplyDeleteSasa kukupa huku kwenye hii blog noma. Sijui hata iweje kukupa.
ReplyDeleteJaribu kunicheki kwenye chat room ya DHB siku za Week end labda.
ReplyDeletehizi hazina radio, power window buttons,side mirros,taa, jeki, spare tyre nk ukinunua hii andaa na hela ya hivi vyote kama ni suzuki hata distibutor hamna, ndio maana tunaijenga kenya kwa kupitishia magari yetu mombasa na holili boarder kiulaini bila usumbufu na wizi wa vifaa
ReplyDeletePoa Grill ntakuwa nakucheki.
ReplyDeletedaa ina maana hakuna wenyewe ama inakuwa vipi ? kiukweli inabidi siku ya mnada na mimi nisicheze mbali
ReplyDelete