wmisho wa mwezi huu tra wanatarajia kupiga mnada magari haya yote ambayo hayajachuliwa na wenyewe bandarini dar kwa muda mrefu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2006

    Michuzi, naomba unipe tarehe kamili kwa sababu nataka nimtumie hela ndugu zangu waweze kujipatia machine. Halafu mambo ya ushuru yatakuwepo au? James

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2006

    GLOBAL WARMING TUU

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2006

    Michuzi tunaomba full detail kuhusu huo mnada, upo lini na term zake zitakuwaje. Natanguliza shukurani.

    ReplyDelete
  4. Michuzi kuna habari hujaifafanua hapa kuhusu magari haya. Kuna tyaarifa kuwa ushuru wa forodha ni mkubwa na ni kikwazo kwa watanzania wengi walioko ughaibuni kushindwa kutuma mizigo na hayo magari nyumbani hali inayokwamisha maendeleo ya familia zao na nchi yetu. Naomba niahamishe kuhusu gharama za ushuru zilivyo kwa sasa na nini nafasi ya watanzania wazawa wanaoleta mizigo kwa ajili yao na familia zao. Vipi Wabunge wanaposafirisha magari na mizigo huwa nao wanalipa kodi hizo au zinapindishwa na mwisho nifahamishe kuhusiana na hao wanaotazama magari yao waliyosotea kuyasaka sasa yanauzwa kisa kodi!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2006

    Grill nataka kuwasiliana na wewe.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2006

    Anony wa 1:46 PM nipe email yako nitakuandikia.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2006

    Sasa kukupa huku kwenye hii blog noma. Sijui hata iweje kukupa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2006

    Jaribu kunicheki kwenye chat room ya DHB siku za Week end labda.

    ReplyDelete
  9. hizi hazina radio, power window buttons,side mirros,taa, jeki, spare tyre nk ukinunua hii andaa na hela ya hivi vyote kama ni suzuki hata distibutor hamna, ndio maana tunaijenga kenya kwa kupitishia magari yetu mombasa na holili boarder kiulaini bila usumbufu na wizi wa vifaa

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2006

    Poa Grill ntakuwa nakucheki.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 30, 2006

    daa ina maana hakuna wenyewe ama inakuwa vipi ? kiukweli inabidi siku ya mnada na mimi nisicheze mbali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...