kinamama wakicheza sindimba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2006

    HAWA NDIO WATAMADUNI,HAPO NA KAUCHAWI KIDOGO HAKAKOSEKANI,KUNA WATU WATASEMA HAKUNA UCHAWI!UONGO?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2006

    Huwezi kucheza ngoma kama hiyo kama si mchawi maana uchawi ni sehemu ya ngoma hiyo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2006

    JAMANI AWA SI WAMAKONDE?NAONA TATOO KIBAO.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2006

    napenda uchawi mimi

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2006

    LAZIMA UWASAPOTI WENZIO.MTU HAWEZI KATAA KAZI YAKE.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2006

    We anony 1:19 am,hebu eleza vizuri,eti unapenda uhavi/uchawi-kivipi?Naweza kukusaidia kama unauhitaji.Mie nilirithishwa,lakini naona unaniletea madhara;tuwasiliane haraka nikukabidhi nataka kuwa huru!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2006

    Michuzi, unajua fika kuwa picha kama hizi zinanikuna sana (kuliko zile za ma-miss!). Safi sana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2006

    we unayetaka kunisaidia mambo ya uchawi naweza kukupata vipi? lakini usiniambie mambo ya kuja Sumbawanga maana mbali sana.Nahitaji sana uchawi maana nataka niufanye usaidi jamii ya WATZ badala ya matumizi mabaya yaliyopo sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...