sheikh mkuu wa bakwata sheikh Simba akichati na muadhama polycarp kardinali pengo wa kanisa katoliki dar bila kelele wala mikwaruzo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2006

    Dini moja ,imani moja Mungu mmoja ila tafsiri mbalimbali, ndiyo maana wengine wanamwita Mungu, wengine Yehova, wengine Allah, wengine Ruwa na majina kama Mulungu n.k.
    Kila mtu anaposhika tafsiri yake na kuiweka katika maisha yake bila kuingilia tafsiri ya mwenzake basi mambo huwa yanakuwa kama haya.AMANI TU.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2006

    SAAAAAAAFI!KAMA UNAKULA NGURUWE SINA MANENO,KAMA UNAFUGA MASHETANI MIE HUKO SIPO ILIMRADI TUMTUKUZE MUNGU!MUHIMU ZAIDI SISI NI WATANZANIA!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2006

    Hopufuli na waumuni wao wataona hayo na waige mufano wa viongozi wao. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2006

    hao hapo juu wote ni wehu tuu, na hizo dini zao zinatakiwa zipigwe marufuku huku kwetu. Sisi ni waafrika hayo mambo ya sheikh na polycapi na sisi wapi na wapi

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2006

    Ukiona mtu anamtenga mwenzake kwa sababu eti yeye ni dini tofauti na yake ujue kichwani hamnazo.Kwanza kwetu sisi waafrika hizi dini mbili kubwa ni za kuletwa tu na wazungu na waarabu.Tupendane,tofauti za kidini zisitugawe hata siku moja.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2006

    Ashukuriwe mungu anae tujalia hali hii maana wengine wanazikana kila siku kwasababu ya tofauti za dini, tusiruhusu hili watanzania, sote ni ndugu na tumetoka kwa MUNGU MMOJA. Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania na watu wake wote Amina.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 25, 2006

    Wewe Anyn wa saa 9:57. Wewe sio Mtanzania, na kama wewe ni Mtanzania basi unaupungufu wa akili na kama huna upungufu wa akili basi umechanganyikiwa na kama hujachanganyikiwa una mashetani na kama huna mashetani umerukwa na akili na kama hujarukwa na akili, akili zako ni butu na kama sio hivyo una utindio wa ubongo na kama huna hayo yote utubu uliyo yasema. Hapa hatuko kuchekeshana ila kupeana comments na maana na sio mzaha, shame upon you!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 25, 2006

    Hapo namuona ustaadhi shehe akimpa pongezi kadinali kwa ujasiri wake wa kuweza kukaa bila kuoa kwa maisha yake yote.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2006

    Kidume kwani mashehe wanachaguliwa na serikali au ccm?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 26, 2006

    Kidume ni CUF hivyo hawezi kujibu swali hilo, maana CUF ni wana ngangari wanataka haki.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 27, 2006

    Michuzi huo mkutano ulikuwa wapi? Hapo Ikulu au? Mbona umeacha kutueleza shemu?

    Ahsante kwa picha murua.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 29, 2006

    Picha kiboko kwani inaonekana ilipiga enzi za Mkapa. katikati yao ni mlinzi wa Mkapa ambaye kaondoka naye Ikulu. Lakini mbona mwasema uongo wa wazi, kwamba kwamba Bakwata ni ya serikali? Kwani mnadhani Nyerere ambaye alikuwa akichukiwa na mujaheeden bado yuko madarakani. Je hamuoni kwamba iwapo Bakwata ni ya serikali basi wakati wa kupata mafanikio ni sasa kwa kuwa Kikwete, yuko madarakani? Mbona mnaleta za kuleta? Hizi hoja za akina Balukta na taasisi za kichochezi zilizobeba mwavuli wa Kiislamu kwa malengo ya siri mnazishabikia bila nyie kujua?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 21, 2006

    THAT'S A VERY GOOD PICTURE I HOPE WE CAN LEARN SOMETHING OUT OF IT,WHY DON'T WE PUT OUR DIFERENCES ASIDE AND LOVE ONE ANOTHER, DISPITE OF OUR BACKGROUND AND CULTURE....IM SURE THE WORLD WOULD HAVE BEEN A BETTER PLACE.THANKS FOR GOOD PHOTO'S ....THEY SURELY TELL A STORY. THANKS YOU .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...