kwa uliyewahi kufika mji mkuu wa uganda sintokulaumu ukidhania kuwa kituo hiki cha mabasi cha brasilia ni pale stendi kuu ya kampala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2006

    Michuzi vipi hao jamaa transport system yao mijini na mikoani?Je wana rapid transport kam ile ambayo tunasikia iko huko venezuela na ambayo tunasikia bongo inafikiria kuanzisha pale dar?wakumbushe hao vigogo wasisahau kuulizia wenzetu wanamudu vipi msongamano wa magari mjini? LABDA WANAWEZA KUTUSAIDIA KIMAWAZO NA HATA KIUTAALAM KUTATUA HILO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2006

    kaaa msamvu pale miego ndema....tofauti ni hayo msjengo majulimajuli.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2006

    Hapo kama Ilula tu kilichokosekana ni nyanya na Vitunguu vya kuwauzia wateja.

    ReplyDelete
  4. kama ubungo terminal na yale majengo nyuma kama ubungo plaza yaani tume-mechisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...