dar jioni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2006

    mbona giza hakuna umeme?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2006

    wewe anony wa hapo juu acha upumbavu, siyo kwa kuwa upo huko ulipo basi ndo ukajiona eti wewe ni namna gani vipi. Sellout bastard

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2006

    We anony wa juu yangu S*nge kweli! Sasa wewe ouni kama giza hapo compare na city inavyobidi kuwa? Hata kama nchi yetu ndio hata kama tukiona ushuzi tusiseme? "son of the b*tch!" Au Michuzi hii blog yako ni TABU BLOG? (kama unajua maana ya tabu ya english anyway).
    Maana hairuhusiwi kusema makosa ya nchi au maandishi! This is tourture man!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2006

    Mhh jamani natuwe tunazungumza yaliyo na ukweli, haya hilo giza hapa liko wapi anonymous no 1, mbona kila kitu kinaoneka au comnputer yako imepatwa na tatizo la light.

    ReplyDelete
  5. Hii foleni ikukute jioni halafu ngalangala lako manual na halina AC halafu ni kipindi cha joto kali (Nov-Feb)babaake utatamani uwe kunguru uruke uwahi home, au kama ni daladal uwe umeminywa na hewa hamna, joto kali halafu gari haziendi na dereva kafungulia mziki mbaya kwa kelele na spika (iko kwenye sufuria)imepasuka heehehe heh

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 21, 2006

    Hiyo ndo Migomigo mwanangu! Time za jioni unasonga home kutoka job...Yaani ni nuksi tupu!!! Ukishamaliza hiyo unakutana na nyingine ya kufa mtu baada tu Shekilango kabla ya kufika Ubungo ukiwa unaelekea Kimara!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 21, 2006

    Mbona kama kuna msiba? Ndio siku aliyakufa Nyerere nini? Aka mniwache jamani mimi eh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...