Home
Unlabelled
dar jioni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona giza hakuna umeme?
ReplyDeletewewe anony wa hapo juu acha upumbavu, siyo kwa kuwa upo huko ulipo basi ndo ukajiona eti wewe ni namna gani vipi. Sellout bastard
ReplyDeleteWe anony wa juu yangu S*nge kweli! Sasa wewe ouni kama giza hapo compare na city inavyobidi kuwa? Hata kama nchi yetu ndio hata kama tukiona ushuzi tusiseme? "son of the b*tch!" Au Michuzi hii blog yako ni TABU BLOG? (kama unajua maana ya tabu ya english anyway).
ReplyDeleteMaana hairuhusiwi kusema makosa ya nchi au maandishi! This is tourture man!
Mhh jamani natuwe tunazungumza yaliyo na ukweli, haya hilo giza hapa liko wapi anonymous no 1, mbona kila kitu kinaoneka au comnputer yako imepatwa na tatizo la light.
ReplyDeleteHii foleni ikukute jioni halafu ngalangala lako manual na halina AC halafu ni kipindi cha joto kali (Nov-Feb)babaake utatamani uwe kunguru uruke uwahi home, au kama ni daladal uwe umeminywa na hewa hamna, joto kali halafu gari haziendi na dereva kafungulia mziki mbaya kwa kelele na spika (iko kwenye sufuria)imepasuka heehehe heh
ReplyDeleteHiyo ndo Migomigo mwanangu! Time za jioni unasonga home kutoka job...Yaani ni nuksi tupu!!! Ukishamaliza hiyo unakutana na nyingine ya kufa mtu baada tu Shekilango kabla ya kufika Ubungo ukiwa unaelekea Kimara!
ReplyDeleteMbona kama kuna msiba? Ndio siku aliyakufa Nyerere nini? Aka mniwache jamani mimi eh!
ReplyDelete