Home
Unlabelled
tunatisha!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BWANA MICHUZI OYEEEEEEE, YEEEEEEEES WEWE NDIO MWENYEWE BWANA, HAKUNA MWINGINE, AHSANTE KWA KULETA MAENDELEO, NDIO MAANA WATU WENGINE WANAONA GERE, NILISHITUSHWA SAAAAAANA KUONA KUNA WATU WANATAFUTA UJIKO NA KUFUNGUA BULOGU KUJIITA WAO PIA MICHUZI, MAANA BWANA INACHANGANYISHA. LAKINI HAWATAFIKA KOKOTE, NA NI VIZURI ULIPOTOA ILE ILANI YAKO. WATAJAZA NA WATAJIJU. HONGERA BABA.
ReplyDeleteMichuzi hongera bwana lakini jaribu
ReplyDeletekuandika bora. Mfano unapoandika neno la kiingereza, au jina linaanza na herufi kubwa, na ukishakutumia nukta unaanza na herufi kubwa. Samahani kwa kukusahihisha, kwani naamini ndio maendeleo.
jamani na mimi naonekana kwenye screen kuleee, angalieni juu ya vidole vya michuzi kuna screen mtaniona
ReplyDeleteMichuzi, hongera sana. Baraka za mababu zikujazi daima na daima. Umetoka mbali. Unavuna ulichopanda. Hongera.
ReplyDelete