jk akitembelea photo point jana na kusifia ushindi wa pili. hapa (naonekana vidole tu) namwonyesha hati ya ushindi wetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2006

    BWANA MICHUZI OYEEEEEEE, YEEEEEEEES WEWE NDIO MWENYEWE BWANA, HAKUNA MWINGINE, AHSANTE KWA KULETA MAENDELEO, NDIO MAANA WATU WENGINE WANAONA GERE, NILISHITUSHWA SAAAAAANA KUONA KUNA WATU WANATAFUTA UJIKO NA KUFUNGUA BULOGU KUJIITA WAO PIA MICHUZI, MAANA BWANA INACHANGANYISHA. LAKINI HAWATAFIKA KOKOTE, NA NI VIZURI ULIPOTOA ILE ILANI YAKO. WATAJAZA NA WATAJIJU. HONGERA BABA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2006

    Michuzi hongera bwana lakini jaribu
    kuandika bora. Mfano unapoandika neno la kiingereza, au jina linaanza na herufi kubwa, na ukishakutumia nukta unaanza na herufi kubwa. Samahani kwa kukusahihisha, kwani naamini ndio maendeleo.

    ReplyDelete
  3. jamani na mimi naonekana kwenye screen kuleee, angalieni juu ya vidole vya michuzi kuna screen mtaniona

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 11, 2006

    Michuzi, hongera sana. Baraka za mababu zikujazi daima na daima. Umetoka mbali. Unavuna ulichopanda. Hongera.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...