Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Michuzi what a heck it this???!! There is even no comment on the 'picha'.
    Tueleze nini kinaendelea..
    Keep it up!

    ReplyDelete
  2. Yeah...nadhani hizi ni vurugu zinazosababishwa na wanasiasa uchwara...au vurugu za wamachinga...manake makundi haya mawili vurugu kwao it is like soul food!!.

    ReplyDelete
  3. AROO!! NANI HIRO RINAANDAMANA NA KUFUNJA SHERIA ZA NCHI!! RIKAMATE...RITWANGE RUNGU..RIKIRETA UBISHI REAREST..RIFUNJE MIGUU NA RUNGI HIRO RIMEJIFANYA KURARA CHINI..AFANDE MARWA...AFANDE CHACHA RIAREST HALAFU URIKAMATE HIRO RIKIONGOZI RAO!#******RIPUMBAFU KABISA!!!!!

    ReplyDelete
  4. Michuzi hii nini tena? Tueleze basi ghasia gani tena zilitokea.

    Na hawa FFU hii Police brutality wataacha lini. Naelewa kazi ya kikosi cha kutuliza ghasia saa nyingine inalazimisha kutumia nguvu za dhiada hasa wanapohitaji kusambaratisha watu wanaotishia amani.
    Lakini wote tunakubali ukweli kuwa mara nyingi FFU huzidisha mno mitama, virungu na mabom ya machozi

    ReplyDelete
  5. Ohoo isha kuwa soo kimbembe hicho kimeibuka toba. mimi mwenzenu nikisha waona hawa jamaa matumbo huanza kunivurugika maana hawana cha mswalie mtume wala njia ya mslaba aliye kuwa karibu yao ni mali na haki yaooo

    ReplyDelete
  6. mcheki mshkaji mweye njano kalala chini :) h aha ahah a :) dizani kala mtama na anasikilizia maumivu.huyo mshkaji mwenye jeans na t-shirt ya njano na mistari ya bluu anazipiga na FFU?

    ReplyDelete
  7. "mheshimiwa mjomba wamulike askari wanaowahukumu vijana kwa marungu,mateke na makofi kabla hawajafikishwa mahakamani........!!!!"

    ReplyDelete
  8. Wazee hii ilikuwa demo jana kule kwenye mahafali ya maofisa wa polisi Chuo cha Polisi Kurasini...

    ReplyDelete
  9. Ouch! That must hurt in the morning.

    ReplyDelete
  10. Ripoti ya Judge kisanga wa tume ya haki za binadam na utawala bora sijui kama iligusia kwa kina unyama unaofanywa na hiki kikosi katika utendaji kazi wako wa kila siku.

    Wamekua wakitumia nguvu nyingi sana hata kwa mambo ambayo hayana maana.Nadhani ahadi wanayoitoa viongozi wetu wa kisiasa za kuwapa mafunzo ya haki za binadam askari wetu huu ndo mda muafaka wa kufanya hivyo na hakuna haja ya kuendelea kusubiri.

    ReplyDelete
  11. Hawa hata waliwasaidia neti groupe kuingia ofisini tanesco, hila nafikiri jinsi wanavyoendesa shirika hata ambaye siyo expert anaweza kufanya hivyo. Hivi pale mlimani hakuna watu wakuendesha shirika la umeme ampaka wazungu hawa ambapo hata waganda waliookotwa mitaa ya J'burg nasikia mwanzo walikuwepo?.

    ReplyDelete
  12. michuzi hakuweka comments kwenye hiyo picha na nafikiri yeye peke yake ndo anajua kilichoukuwa kinaendelea! mhishimiwa michuzi tunaomba comments kuhusu hiyo picha naona watu wana wild comments kuhusu hiyo picha. wapi hiyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...