kwanza alianza na farasi, kisha gari la faya; safari hii ali choki kaingia ukumbini na fokolifti kuzindua albamu ya nane ya twanga, 'passwodi' jana usiku dayamondi jubilei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu ndiyo mzee wa kuzindua. Next time nadhani ataingia na 'Gutta'.

    ReplyDelete
  2. Huyu choki anatafuta balaa,mwanzo aliingia na farasi akashindwa kumcontrol,mara gari la faya likawa halina maji sasa anataka kukatwa na mafeni hayo,nasikia kuna mmoja wa bendi fulani alijifanya kuingia ndani ya jeneza wacha watu wamzomee bongo bwana kuna visa sana

    ReplyDelete
  3. Do security and safety have any concern in these people? I suppose this act is a breach of public safety.

    ReplyDelete
  4. Anon at 5:40 PM , Your right on the money. Ali Choki was supposed to be arrested for his reckless and unsafe act ! Anyway , that is Africa once you have money and fame then you are above the law.

    ReplyDelete
  5. choki una familia wewe? bora uwe huna na je hiyo familia inakuangaliaje achilia sisi wa nje(hata kuangalia hii picha niko mwenyewe najionea aibu mwenyewe kama mtz) maana najiuliza tu mf. una mtoto anaangalia baba yake kapanda forklift kanyanyuliwa usawa wa feni eti sanaa, ACHA USHAMBA BWANA kueni bwana watu wengine si mnaboa tu bali unachefua.

    ReplyDelete
  6. yaani balaa lote hilo ni kutaka aitwe mzee wa kijiko,na hapo utakuta kuna waziri kaalikwa kwenye hio uzinduzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...