Home
Unlabelled
choki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu ndiyo mzee wa kuzindua. Next time nadhani ataingia na 'Gutta'.
ReplyDeleteHuyu choki anatafuta balaa,mwanzo aliingia na farasi akashindwa kumcontrol,mara gari la faya likawa halina maji sasa anataka kukatwa na mafeni hayo,nasikia kuna mmoja wa bendi fulani alijifanya kuingia ndani ya jeneza wacha watu wamzomee bongo bwana kuna visa sana
ReplyDeleteDo security and safety have any concern in these people? I suppose this act is a breach of public safety.
ReplyDeleteAnon at 5:40 PM , Your right on the money. Ali Choki was supposed to be arrested for his reckless and unsafe act ! Anyway , that is Africa once you have money and fame then you are above the law.
ReplyDeletechoki una familia wewe? bora uwe huna na je hiyo familia inakuangaliaje achilia sisi wa nje(hata kuangalia hii picha niko mwenyewe najionea aibu mwenyewe kama mtz) maana najiuliza tu mf. una mtoto anaangalia baba yake kapanda forklift kanyanyuliwa usawa wa feni eti sanaa, ACHA USHAMBA BWANA kueni bwana watu wengine si mnaboa tu bali unachefua.
ReplyDeleteyaani balaa lote hilo ni kutaka aitwe mzee wa kijiko,na hapo utakuta kuna waziri kaalikwa kwenye hio uzinduzi
ReplyDelete