twanga pepeta walipanda jukwaani wakiwa kama wafungwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. duh ! michuzi vp hawa watu, mbona wana rangi nyingi tofauti tofauti, kulikoni kaka ??

    ReplyDelete
  2. yaani huyu Luiza ukimwangalia kwenye video ya tumetoka kwetu mahenge ndio utajua mkorogo ni nini!!!!!

    ReplyDelete
  3. Hii staili ya ufungwa mbona inakuwa ni kama rip-off (geza) ya wajela-jela?
    Halafu wafungwa wa Bongo magwanda yao si meupe, au siku hizi kuna "orange"? ...au ndio wanaiga marekani? Hehehe

    All in all lakini muziki wa Twanga naufagilia, nitajitahidi kuzitafuta hizo nyimbo mpya kupitia marafiki waliokuja likizo watakaporudi Septemba nami nijiskie nyumbani

    ReplyDelete
  4. Hya mambo ya Guantanamo Bay!ila wanafanya kejeli kuingia kama wafungwa naye Asha katulia bila kuhoji nkwanini ni wafungwa! Lilian afadhali karufdi bwana, tulikuwa tunammiss sana alafu nasikia huko ughaibuni alikuwa hafanyi lolote kujiendeleza kimuziki, karibu dada usiende tena sawa?

    ReplyDelete
  5. HUYO LWIZA SURA CHUNGU,NA HIYO MIKOROGO NDO ANAJIHARIBU ZAIDI.SIJUI HANA MARAFIKI WA KUMWAMBIA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...