Home
Unlabelled
Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wow, this does surely look new to me!! I was told this building is at Ohio Street, is that true? Haven't been home in a while; yeah, ndio sisi wabeba box ughaibuni:-) Thanks for the pic. bro!
ReplyDeletepicha nzuri michuzi inanikumbusha nilivyokuja hivi karibuni
ReplyDeletePanaanza kufanana na Lagos, Nigeria. Picha safi sana.
ReplyDeleteNDUGU ZANGU WA DAR ES SALAAM. BAADA YA KUCHOSHWA NA UJINGA WA HUYU JAMAA ALIYEAMUA KUACHA FAMILIA YAKE INATESEKA NA KUGAWA HELA KWA WATU WENGINE NAONA SASA NIWAPELEKE KATIKA KATOPIC KADOGO.
ReplyDeleteJacqline ndiye sexiest Girl
Mrembo Jacqline Ntuyabaliwe a.k.a K-Lyin ametajwa kama ndo msichana mwenye mvuto baada ya kuwapiku warembo wengine 10.
Shindano hilo ambalo liliendeshwa na gazeti la Ijumaa lilishirikisha warembo 10 ambao picha zao ziliwekwa gazetini na watu kupigia kura nani atoke hadi walipobaki watatu walioingia fainali
Katika fainali hizo mrembo Nancy Sumari alitolewa na kubaki Jeniffer John ambaye alipigwa kikumbo na K-Lyni kuibuka mshindi
kwa ushindi huo K ambaye aliwahi kuvikwa taji la Miss Tanzania mwaka 2000 atazawadia fungu la kufanya shopping pamoja na kulala katika hotel yenye hadhi ya nyota tano na ampendaye.
Warembo waliobwagwa na k ni pamoja na Faraja Kotta,Fezza Kessy,Hoyce Temu, Rah P,Sylvia Bahame,Ray c, Angela Damas.
K-Lyin
Hiyo taarifa ya k-Lyn ina uhusiano gani na hii picha ??????????
ReplyDeletenaona mwamdishi alipotoka..alisahau kwamba hii sio ile page yenye yule msenge anayetombwa na ray pale regency park ili kulinda heshima yake.
ReplyDeletemasikia analala chumba kimoja na mzungu mmoja.
ANGAZO:
msiwe na hasira hadi mkasahau page za kupost comment zenu hapa tunazungumzia dar na picha kila kona.
AKSANTENI.
NAOMBA UKISMA UELEWE MAANA KWA KWELI....SIE WENGINE HATUTAKI KUINGIA KATIKA UO MZOZO.
ReplyDeleteKAMA MIMI NINGEPENDA KUWEPO LAKINI NAONA KUNA TATIZO AMBALO NYINYI WOTE LABDA HAMLIJUI.
JIULIZE , IWEJE TFF WAWEPO KATIKA MAGAI YA FEDHA YA MTU AMBAYE WAO WAMEKIRI KWAMBA NI MJANJA TU. PIA IWEJE TFF WAKUBALI.WATU WANASEMA SHINGO UPANDE, JE TFF WENYEWE WANASEMAJE?
MIE SIWAELEWI NAOMBA TUONGEEE MENGINE YA MAANA NA TUACHANE NA HUYO MJINGA.
MICHUZI...TUWEKEE PICHA YA TAIFA STARS HAPA TUANGALIE KAMA NYUSO ZA MAFANIKIO ZIPO AU TUNAKULA MATUMAINI YA MAGAZETI.
NAZUNGUMZA KWA KUWA MIMI SIPO TANZANIA KWA SASA. NIPO MASOMONI NJE YA NCHI.
Michuzi na mimi naungana na jamaa hapo juu tunaomba picha za Stars ikiwezekana kikosi cha jumamosi na majina yao kaka tupo mbali lakini at least tuwajue basi maana na majina mageni matupu.
ReplyDeletehalafu dada CHEMI dar kuifananisha na LAGOS of all the places in the world?? labda kidogo ungefafanua au upo huko? noo...zisije na tabia za huko zikaingia na Dar buree, ma...419 itakuwa noma!
Mimi natoa ushauri tu kwa wale wenye nia ya kujenga haya majengo makubwa,haya majengo kama yangejengwa nje kidogo ya city centre nahisi yangepunguza ulazima wa watu kupambana na foleni za mjini, mfano mzuri umeonyeshwa na Ubungo plaza iliyopo ubungo na Mwalimu house ambayo imejengwa Ilala Boma pia kuna mlimani city ambayo iko mitaa ya chuo kikuu nimesikia pia kuna project inatakiwa kuanza pale external lakini sijui ya nini, hebu piga picha maghorofa marefu yakiwa yako mbagala, kimara, gongo la mboto ooops nimesahau jamani manzese nako maghorofa yameanza kuota kama uyoga
ReplyDeleteKaka Michuzi, naomba rungu lako la Polisi liendelee kulinda heshima ya hii Blogu.
ReplyDeleteWenye kutoa hoja zao kwa kutumia kashfa, matusi na vitisho naomba uchape rungu hoja zao(uzifute).
Tunaweza kulumbana na kukosoana bila kutumia lugha zinazofanya wengine kama Lusajo kulalamika kuwa heshima ya hii blogu inashuka.
Mfano Anony wa 2:40pm, kwa mtazamo wangu amevuka viwango vya lugha ya heshima.
Hapana michuzi naomba unifafunulie hilo tangazo la ladha ya Texas ndani ya Bongo!Tafadhali!
ReplyDeleteSiku hizi Bongo naona tumeendela sana, kuwa na wachoraji na wajenzi wa majengo wakali hivi! Au zimechorwa nje hizi?
ReplyDeleteMnaweza mkanisaidia contacts za makampuni ya wachoroji? Natarajia kurudi nyumbani hivi karibuni, na nina kiproject kidogo. Asanteni.
J/Ally.
JENGO HILO NASIKIA LILICHORWA NA KAMPOUNI YA MCHAGGA MMOJA HIVI. MAREALLE OR SOMETHING LIKE THAT. ANATINGISHA MJI KIDOGO NA KAZI ZAKE. ANAJITAHADI KIDOGO, INGAWA MBONA MAJENGO YOTE YAMEKAA KIZUNGU-ZUNGU SANA. ANGEWEKA NAKSHI ZA KISWAHILI AU ZANZIBARI PIA KIDOGO.
ReplyDeleteHATA HIVYO, ANASTAHILI PONGEZI ZAKE.
KAKA MCHUZI, NIMEFURAHIA PICHA HII, KWANI INAONGELA MAENDELEO NA SI MATUSI NA MASENGENYO KAMA NILIVYOONA KWINGINE.