Enjoying a ride in the Dubai desert

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. aahh michuzi we kiboko yaani mpaka umeweza kumpata huyu mzee Mihayo duuhhh kweli we kiboko!

    ReplyDelete
  2. Enjoying a ride in Dubai Desert

    ReplyDelete
  3. siku hizi hata bongo maeneo ya kigamboni beach hii burudani inapatikana kwa bei poa tuu washkaji haswa weekend!

    ReplyDelete
  4. Michuzi mara nyingine kama utapanda ngamia, basi uvae nguo za safari..Kama cargo pensi na jaketi..Siyo casual ..suluwari na shirti la mikono mirefu pamaoja na mokasini..
    Nikufahamishana tu!

    ReplyDelete
  5. Anony hapo juu umenifurahisha bwana michuzi baaaaaaaaaado sana mimi picha zake zinanichekesha kweli hujaona ile yuko beach kakunja suruali ya kitambaa...na nyingine kavaa baseball shirt na hizo hizo suruali zake, pamoja na exposure yake yote lakini baaaaaaaado hana sense of style kabisaaaaaaaa huna taste bwana michuzi lakini kama uko comfortable poa tu kibongo bongo hehehe..

    ReplyDelete
  6. U r right anony hapo juu. Brother Michuzi kazi lazima iendane na kivazi you are role model!!

    ReplyDelete
  7. mjomba hapo juu umeniacha hoi kweli especially ile comment ya beach ambapo Michuzi kapiga pantaloo ya ki yenu yenu, au zile jezi zake anazovaa na pantaloo, kwa kifupi pamba unazo Michuzi kinachohitajika ni mpangilio tu, au kama alivyosema anko hapo juu kama mwenyewe uko comfortable poa tu, do you bra!!

    ReplyDelete
  8. Hawa ngamia inaonekana wanang'ata ndio maana wamezibwa midomo kama mbwa

    ReplyDelete
  9. hapo juu mie naona wngamia wanatoa harufu au sauti ndio amana wamewaziba !!!!!

    ReplyDelete
  10. MZEE ROBERT MGAYWA ALIFUKUZWAGA CHUO KIKUU CHA DSM BAADA YA KUFELI PHD YAKE.ALIKUAGA MAKTABA.BAADAYE AKAENDAGA BRITISH COUNCIL LIBRARY,SIJUI SAIVI YUKO WAPI?!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...