Home
Unlabelled
faza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi Iddi Pazi alikuwa wapi?
ReplyDeleteTFF wamewabeba Simba kwenye suala la kumchezesha Mgosi ambaye alikuwa na kadi 3 za njano.
ReplyDeleteIddi Pazi alienda Indonesia katika mji wa Semarang, alicheza kwa kwa muda fulani halafu akaacha akawa yupo yupo tu. Tulikuwa tukikutana nae wakati tukipiga shule Yojakarta.
ReplyDeleteNakuunga mkono "Em.p". Ni nchi ya wachache sana. Kwa nini hatupewi ID? kila mwanachi? Au ndio hawataki kututambua?
ReplyDelete...hatupewi ID, halafu ukikatana na polisi usiku wanakuulizia kitambulisho. Kama huna ni rumande
ReplyDeleteSasa kama mtu huna kazi ya kuajiriwa, au ndio hivyo shambaboi au housegeli utapata wapi kitambulisho?