iddi pazi 'faza' kipa wa kimataifa wa zamani wa simba amerejea bongo na sisi no kocha wa nyanda msimbazi. hapa anaonekana akimba juma kaseja tizi huku simba wengine wakitrot

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi Iddi Pazi alikuwa wapi?

    ReplyDelete
  2. TFF wamewabeba Simba kwenye suala la kumchezesha Mgosi ambaye alikuwa na kadi 3 za njano.

    ReplyDelete
  3. Iddi Pazi alienda Indonesia katika mji wa Semarang, alicheza kwa kwa muda fulani halafu akaacha akawa yupo yupo tu. Tulikuwa tukikutana nae wakati tukipiga shule Yojakarta.

    ReplyDelete
  4. Nakuunga mkono "Em.p". Ni nchi ya wachache sana. Kwa nini hatupewi ID? kila mwanachi? Au ndio hawataki kututambua?

    ReplyDelete
  5. ...hatupewi ID, halafu ukikatana na polisi usiku wanakuulizia kitambulisho. Kama huna ni rumande

    Sasa kama mtu huna kazi ya kuajiriwa, au ndio hivyo shambaboi au housegeli utapata wapi kitambulisho?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...