photopoint miss photogenic 2006 wema sepetu akikaribisha wageni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. MIMI NINASHANGAA HIYO BIASHARA YA U MISS TANZANIA, KWANI INAONEKANA HAUWEZI KUWA MISS MPAKA UWE MTOTO WA FULANI! NA HAO MAFULANI WENYEWE(WAZAZI WAO) WANA SURA KAMA WANAGRILL MAVI! KAMA PICHA YA HUYU WEMA NA YULE BABA YAKE. SASA HAPO MBONA KUNA UTATA KIDOGO! KWANI WANAWAPITISHA KWA KUWAPASISHA MASWALI, SIO UZURI! HALAFU BAADAE ETI "HUYU NDIO ANYEONGOZA PIA KWA AKILI NA ADABU" SABABU NI MTOTO WA FULANI!

    ReplyDelete
  2. chikomoo kaka michuji!!!!kabaya,na kuvaa hajui hio sherehe ya nini mbona kavaa kama bitch?hayuko presentable i mean simaanishi avae suti,no naona hizo nguo zimemfanya awew mtoto zaidi.

    ReplyDelete
  3. si bora hata angekuwa mtoto,nguo gani kavaa kisketi cha jeans na kiblausi cha 150 bwana cha kunyofoa tu pale magomeni kwenye sagula sagula ahhh....

    ReplyDelete
  4. Michuzi hapa umefanana na Jenerali ulimwengu sana.

    ReplyDelete
  5. Huyu mtoto hakujua kuwa anakwenda kwenye part ya kupongezwa hadi akaamua kuvaa hivyo? Jamani hebu apatiwe mshauri nasaha!

    ReplyDelete
  6. Ndio kutoka kwanza afanyeje jamani? Mue mnamshauri ili abadilike. Msimkwaze sasa hivi.

    ReplyDelete
  7. Jamaa eeh pamoja na mawazo yenu mazuri yakutaka wabongo wafiche miili yao, napenda kutofautiana na nyie kuwa huo sio utamaduni wetu. Wakwetu ni kuanika miili yetu hadharani. Ni wapi ulishawahi kuona mwanamke anachomoa ziwa na kuanza kunyonyesha mbele ya kadamnasi kama siyo Afrika tu?

    ReplyDelete
  8. Mbona umekuwa shai, usione haya, wewe ni townboi na msela fresh, mbona unatuaibisha bwana - enzi hii, taimu ya kupiga mabwata

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...