wana-mji kasoro bahari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kama hali yenyewe ni hii kwakweli mzee Michuzi mtanisikia tu kwenye bomba. hapa Columbus natanua sana, BIMA kali watoto wengi tena wazuri. Sijuikama nitakuja hivi karibuni.

    ReplyDelete
  2. Msami,wewe sio wa kwanza wala wa mwisho kuwa nje ya nchi.Wapo wa Tz wengi tu hata hapa hapa USA, Ulaya au kwingineko, hawatoi kauli za hivyo. Usidharau nyumbani kwenu:Unatukana mamba kabla hujavuka mto...?!Mimi mwenyewe nipo hapa Usa, ila siku moja nitarudi Tz...

    ReplyDelete
  3. WEWE SIYO MSAMI SEMA TU JINA LAKO MSAMI HAWEZI KUTOA KAULI KAMA HIZI?TUNAMJUA MSAMI WEWE UNA LAKO JAMBO

    ReplyDelete
  4. huyu msami anatuboa,siku utapigwa bomba mshenzi mkumbwa wewe,ukajikuta uko pale airport bila chochote,ukifa si utarudi tu hukuhuku moshi kuzikwa kwenye migomba mbwa wewe

    ReplyDelete
  5. nyumbani kumefanya nini tena huo mgomo wa nini?

    ReplyDelete
  6. maandamano nini? picha siielewi michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...