Home
Unlabelled
kupokezana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi hauna hiyo picha unitemie.......kama unayo nambie nikupe adress yangu/
ReplyDeletesasa hizo ofisi za nchi wameruhusiwa vipi hao kuweka picha hizo, tena kwenye ukuta huo mpya ambao una miezi au wiki kadhaa?
ReplyDeletenilidhani mie tu ndio nimeona hizo solotepu zao. KUlikoni wamekosa kwua na ukuta wa kuuchezea sijui wabongo lini tutajaribu kutunza mali zetu wakitoa hapo rangi imetoka hapafai mweee !!!kienyejienyeji tu ilimradi tutafika lini aaah vitu vidogo sana unasema hawana macho.
ReplyDeletedu ukifikisha miezi sita sijui utakuwaje lakini ndo tatizo letu wabongo kwa kuharibu ndo wenyewe na huku kila siku serikali inaomba misaada sasa hiyo hela ya kupaka rangi upya sijui itatoka wapi au na itaombwa G 8?
ReplyDeleteEmergency Poison unachosema juu ya kuandika andika katika kuta ama mawe. Nadhani ulifanya sana hiyo kazi pale seminari(ulidai wewe ni padri) uliposoma maana una uzoefu na mambo hayo na kule Ziwa Tanganyika, Bulombora JKT, kwenye mawe kuna jina linafanana na lako limeandikwa "Hapa amepita Emergency kwa Emergency" sasa sijui ni wewe! any way ni kumbukumbu lakin uchafuzi kama ulivyosema!
ReplyDeleteMzozaji: it's SELLOTAPE not SOLAR TAPE
ReplyDelete