jamaa wakibandika picha za maonesho wakati wa uzinduzi wa kitabu 'the promise' cha profesa maliyamkono bungeni dom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. michuzi hauna hiyo picha unitemie.......kama unayo nambie nikupe adress yangu/

    ReplyDelete
  2. sasa hizo ofisi za nchi wameruhusiwa vipi hao kuweka picha hizo, tena kwenye ukuta huo mpya ambao una miezi au wiki kadhaa?

    ReplyDelete
  3. nilidhani mie tu ndio nimeona hizo solotepu zao. KUlikoni wamekosa kwua na ukuta wa kuuchezea sijui wabongo lini tutajaribu kutunza mali zetu wakitoa hapo rangi imetoka hapafai mweee !!!kienyejienyeji tu ilimradi tutafika lini aaah vitu vidogo sana unasema hawana macho.

    ReplyDelete
  4. du ukifikisha miezi sita sijui utakuwaje lakini ndo tatizo letu wabongo kwa kuharibu ndo wenyewe na huku kila siku serikali inaomba misaada sasa hiyo hela ya kupaka rangi upya sijui itatoka wapi au na itaombwa G 8?

    ReplyDelete
  5. Emergency Poison unachosema juu ya kuandika andika katika kuta ama mawe. Nadhani ulifanya sana hiyo kazi pale seminari(ulidai wewe ni padri) uliposoma maana una uzoefu na mambo hayo na kule Ziwa Tanganyika, Bulombora JKT, kwenye mawe kuna jina linafanana na lako limeandikwa "Hapa amepita Emergency kwa Emergency" sasa sijui ni wewe! any way ni kumbukumbu lakin uchafuzi kama ulivyosema!

    ReplyDelete
  6. Mzozaji: it's SELLOTAPE not SOLAR TAPE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...