Home
Unlabelled
lilian
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwani si alikwenda ulaya kusomea kompyuta? ina maana hiyo kozi ya kompyuta ya ulaya hailipi au ni aje?
ReplyDeleteGrill umenichekesha ama kweli tutarudi tu!!
ReplyDeletena mbona kachoka hivi? nilimpenda sana stejini na madinda walipoondoka nilimaliza upenzi na twanga naomba nijue kama wamerudi for good twanga nirudishe upenzi wangu
ReplyDeletetatizo la watz wamezoea DEZO plus UVIVU....nchi za wenzetu ziko fast sana watu wanashindwa kujipanga na kutengeneza maisha,mf. marekani ndio kabisa kuna opportunities nyingi na ukizitaka unafanikiwa ni kujua unataka nini ktk maisha mbona waafrica wengine wanaendelea sababu wanafika wanapanga malengo na haraka kuanza kuyatekeleza watz wakishavuka atlantic ocean wanadhani wameshawin tayari wamarekani wenyewe wenye kila uwezo wa kufanya lolote usipojituma unakula joto ya jiwe vile vile..
ReplyDeletemzee michizi tafadhari wapige picha na nyuma basi tuone na mambo ya nyuma ila pozi zuri
ReplyDeleteLilian amekonda sana, nilipenda alivyokuwa zamani. Lakini bora amerudi. Akisha pata nyama choma na bia atarudi kama zamani.
ReplyDeleteLiliani jamani zile enzi zetu alikuwa si mchezo.
ReplyDelete