lilian intanet yupo bongo kitambo, na hakuwa nyuma katika kuzindua albamu ya nane ya twanga pepeta, 'passwodi' baada ya kurejea toka ughaibuni ambako kaona hakulipi kama wanavyodai wengine

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kwani si alikwenda ulaya kusomea kompyuta? ina maana hiyo kozi ya kompyuta ya ulaya hailipi au ni aje?

    ReplyDelete
  2. Grill umenichekesha ama kweli tutarudi tu!!

    ReplyDelete
  3. na mbona kachoka hivi? nilimpenda sana stejini na madinda walipoondoka nilimaliza upenzi na twanga naomba nijue kama wamerudi for good twanga nirudishe upenzi wangu

    ReplyDelete
  4. tatizo la watz wamezoea DEZO plus UVIVU....nchi za wenzetu ziko fast sana watu wanashindwa kujipanga na kutengeneza maisha,mf. marekani ndio kabisa kuna opportunities nyingi na ukizitaka unafanikiwa ni kujua unataka nini ktk maisha mbona waafrica wengine wanaendelea sababu wanafika wanapanga malengo na haraka kuanza kuyatekeleza watz wakishavuka atlantic ocean wanadhani wameshawin tayari wamarekani wenyewe wenye kila uwezo wa kufanya lolote usipojituma unakula joto ya jiwe vile vile..

    ReplyDelete
  5. mzee michizi tafadhari wapige picha na nyuma basi tuone na mambo ya nyuma ila pozi zuri

    ReplyDelete
  6. Lilian amekonda sana, nilipenda alivyokuwa zamani. Lakini bora amerudi. Akisha pata nyama choma na bia atarudi kama zamani.

    ReplyDelete
  7. Liliani jamani zile enzi zetu alikuwa si mchezo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...