aisha madinda ndani ya nyumba kwenye uzinduzi wa 'passwodi' ya twanga jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Jmani naomba jina la huyo watatu kutoka kushoto!

    ReplyDelete
  2. Anaitwa Aisha Madinda,ni sexy na anasmile nzuri na anajua kucheza

    ReplyDelete
  3. Nadhani Aisha madinda ni wa kwanza kushoto mimi nauliza wa tatu aliyeonyesha skin-tight ni nani?ama Aisha kabadilika hivyo siyo huyu wa kwanza kushoto kwako!

    ReplyDelete
  4. ndio yeye mwanangu mambo ya mkorogo hayo

    ReplyDelete
  5. Wewe sema ulikuwa humjui tu Aisha Madinda, wala hajabadilika kitu. Kwa mtu anayemjua Aisha hata huwezi kuuliza mara mbili. Huyo unayemwulizia wa tatu kushoto ndiyo yeye baba, kha!!
    Ina maana wewe DAR hujakaa ukaenda kuwaona Twanga hata mara moja??

    ReplyDelete
  6. wewe anony hapo juu kukaa kwako dar kumekusaidia nini? twanga twanga ni nani mimi nilishaenda kuwaona twanga pale landmark nikawa nasikia makelele tu ya vyombo simsikii lwiza wala wacheza shoo ni wazuri ila pia kwa ustaarabu wetu wa kibongo watu wamejaa mbele hata huoni vizuri,nikagundua kumbe ni wazuri zaidi nikisikiliza na kuangalia dvd zao kuliko kuwaona, nyinyi ndio wale wale mnao sababisha mpaka maendeleo hayasambazwi nchini kote, dar dar nini?

    ReplyDelete
  7. Naomba nijibu ingawa jamaa hapo juu kajibu. Ee bwana uliyemtaja Madinda Aisha nashukuru mimi kiukweli sipo hapo TZ karibu miaka 15 sasa nipo Tobago, ila mimi ni mpenzi sana wa TWANGA na ninazo DVD zao na sura ya Madinda haikuwa hivyo ndio maana nimeuliza, asante sana jamani kwa kunishirikisha hilo.(Kebxsog)

    ReplyDelete
  8. M-Tobago kushoto kwako nadhani ipo hivyo katika computer yako ni AISHA,nafuata Aston Villa na huyo mwenye mapaja makubwa ambaye unamuulizia anaitwa OTILIA, vipi huko Tobago hawapo hawa mbona nnasikia huko mablacks kibao. Kuna waTZ wengi huko Bro?

    ReplyDelete
  9. Tobago,
    soma hiyo link hapo chini na uangalie picha za zilizopo za Aisha, then ukishamaliza, angalia tena hiyo picha ya hapa then utajua yupi ndiyo Madinda.
    http://www.darhotwire.com/dar/BongoDansiMahojiano/2006/03/17/17011.html

    ReplyDelete
  10. Michuzi,
    Mbona hii picha hata ukiikuza haiwi kubwa sana na kujaa kwenye skrini kama nyingine?
    Mimi nimeshindwa kabisa kuwaangalia vizuri hawa wakina dada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...