The Muchacho cheering group went silent after Kagera Sugar pipped Simba 2-1 to dethrone the Msimbazi street boys and grab the 2006 Tusker Challenge Cup at the National Stadium in Dar recently

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Simba Ziiiiiii!!!

    ReplyDelete
  2. what comes around goes around

    ReplyDelete
  3. acheni ushabiki. Chama kubwa.

    ReplyDelete
  4. TATIZO LA TIMU ZETU HIZI WASANII NI WENGI KAMA JAKI PEMBA....USANII NI ULEULE TU LAKINI MAZINGIRA NDIO TOFAUTI.

    ReplyDelete
  5. HUYU MWAKALEBELA FREDRICK NA YEYE NI MWIZI TU SIJUI ANAONGEA NINI? HATA HUYO TENGA MWIZI TU
    ’Waamuzi Ligi Kuu wala rushwa’
    Baadhi ya waamuzi wanaochezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wameshutumiwa kwa kula rushwa kutoka kwa klabu ili kutoa upendeleo.

    Viongozi wa zinazoshiriki ligi hiyo waliyasema hayo jana katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Shirikisho la Kandanda Tanzania, TFF, na Shirikisho la Soka Dunian, FIFA, iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

    Akizungumza mara baada ya semina hiyo, Katibu Mkuu wa TFF, Fredrick Mwakalebela alisema kuwa klabu hizo zimelalamikia hali hiyo ambayo pia imepelekea kupangwa kwa matokeo kabla ya mechi kufanyika.

    Mwakalebela alisema kuwa wao kama wasimamizi wakuu wa ligi hiyo wamepokea malalamiko hayo na watayafanyia kazi kwa wakati muafaka.

    Alisema kuwa lengo la TFF ni kuona ligi hiyo inakuwa na ushindani wa kweli uwanjani na wala si dosari kama hizo ambazo timu zimekuwa zikilalamikia.

    Alifafanua kuwa mbali ya sakata hilo la rushwa kwa waamuzi, timu shiriki katika semina hiyo pia zimeiomba TFF kupunguza idadi ya timu katika ligi hiyo na kufikia 12 ili kuleta ushindani wa kweli.

    Alisema kuwa na timu 16 kumeifanya ligi hiyo kuwa ndefu na kukosa ushindani kwani kuna baadhi ya timu zinashindwa kusafiri kutokana na kukosa nauli kutokana na kuwa ’ombaomba’.

    Aliongeza kuwa hali hiyo inasababisha mambo ya upangaji wa matokeo na kufanya timu kupata ushindi wa bure.

    Mwakalebela alisema wamechukua mapendekezo hayo na wameahidi kuyafanyia kazi.

    Timu zilizoshiriki katika semina hiyo ni mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Bara’Vodacom’, Yanga, Simba, Mtibwa Sugar, Kahama United, Transit Camp, AFC Arusha, Moro U nited, Ashanti, Polisi Morogoro, JKT Ruvu na Bandari Mtwara.






    SOURCE: Nipashe

    Comment on this article
    TODAY
    ’Waamuzi Ligi Kuu wala rushwa’

    Miss Tanzania watakiwa kuboresha mashindano

    Imani za ushirikina zakwamisha mazishi ya mchezaji

    Maximo aahidi kuichapa Burkina Faso

    Klabu Ligi Kuu kujadili maboresho leo

    Wema kukabidhiwa bendera leo

    Stars haijashinda Afrika tangu 1997

    Kagera wajiandaa Tusker ya Kenya

    More news....


    -----------------------------------------------
    Editorial
    Ihefu: Inspiration to environmentalists

    -----------------------------------------------
    Business bits
    Exchange rates
    Dar Stock Exchange
    Financial Times Editorial
    Financial Watch
    More business

    -----------------------------------------------





    Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2005 IPPMedia Ltd. All Rights Reserved.

    ReplyDelete
  6. michuzi, naomba kama unaweza kufanya lolote utunge sheria kuhusu baadhi ya watu...

    huyu jack anatubandikia vipande vya gazeti, yaani mimi najisikia kulia maana nakumbuka mbali sana.

    ananikumbusha wakati ule tuna mrema kwenye siasa. naona ananibore sasa.

    mimi simjui na nimeanza kuchat leo lakini ameshanibore tayari.

    maana kama tenga anasema watu wezi yeye yanamuusu nini? baba yake refa au inakuwaje katika mambo yake...huyu jamaa ana uhusiaano na yule jamaa aliyekataliwa na tff kupeleka timu ulaya?

    ReplyDelete
  7. Team imejaa sana waarabu hii. Nadhani waafrika wanajilazimisha tuu.

    ReplyDelete
  8. JACK PEMBA, MAPENZI YAKO KWA SOKA NAFIKIRI INABIDI UTAFUTE NAFSSI KATIKA TIMU KAMA SIMBA AMBAYE INGEPENDA SAN AKUKUKARIBISHA KAMA MDHAMINI. UNASEMAJE MTAALAMU...JIBU TWENDA KAZI.

    TIMU YA TAIFA MUACHIE KAKA JAKAYA NA WENYE NCHI HII.HUNA LAKO MZEE.KWANZA DENI UMELIPA PALE UPANGA?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 09, 2009

    Namuona Samir Muchacho akiwa amekasirika hapo umguse tu anakupiga ngumi.Kidedea hoyeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...