Home
Unlabelled
Muchacho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Simba Ziiiiiii!!!
ReplyDeletewhat comes around goes around
ReplyDeleteacheni ushabiki. Chama kubwa.
ReplyDeleteTATIZO LA TIMU ZETU HIZI WASANII NI WENGI KAMA JAKI PEMBA....USANII NI ULEULE TU LAKINI MAZINGIRA NDIO TOFAUTI.
ReplyDeleteHUYU MWAKALEBELA FREDRICK NA YEYE NI MWIZI TU SIJUI ANAONGEA NINI? HATA HUYO TENGA MWIZI TU
ReplyDelete’Waamuzi Ligi Kuu wala rushwa’
Baadhi ya waamuzi wanaochezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wameshutumiwa kwa kula rushwa kutoka kwa klabu ili kutoa upendeleo.
Viongozi wa zinazoshiriki ligi hiyo waliyasema hayo jana katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Shirikisho la Kandanda Tanzania, TFF, na Shirikisho la Soka Dunian, FIFA, iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Akizungumza mara baada ya semina hiyo, Katibu Mkuu wa TFF, Fredrick Mwakalebela alisema kuwa klabu hizo zimelalamikia hali hiyo ambayo pia imepelekea kupangwa kwa matokeo kabla ya mechi kufanyika.
Mwakalebela alisema kuwa wao kama wasimamizi wakuu wa ligi hiyo wamepokea malalamiko hayo na watayafanyia kazi kwa wakati muafaka.
Alisema kuwa lengo la TFF ni kuona ligi hiyo inakuwa na ushindani wa kweli uwanjani na wala si dosari kama hizo ambazo timu zimekuwa zikilalamikia.
Alifafanua kuwa mbali ya sakata hilo la rushwa kwa waamuzi, timu shiriki katika semina hiyo pia zimeiomba TFF kupunguza idadi ya timu katika ligi hiyo na kufikia 12 ili kuleta ushindani wa kweli.
Alisema kuwa na timu 16 kumeifanya ligi hiyo kuwa ndefu na kukosa ushindani kwani kuna baadhi ya timu zinashindwa kusafiri kutokana na kukosa nauli kutokana na kuwa ’ombaomba’.
Aliongeza kuwa hali hiyo inasababisha mambo ya upangaji wa matokeo na kufanya timu kupata ushindi wa bure.
Mwakalebela alisema wamechukua mapendekezo hayo na wameahidi kuyafanyia kazi.
Timu zilizoshiriki katika semina hiyo ni mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Bara’Vodacom’, Yanga, Simba, Mtibwa Sugar, Kahama United, Transit Camp, AFC Arusha, Moro U nited, Ashanti, Polisi Morogoro, JKT Ruvu na Bandari Mtwara.
SOURCE: Nipashe
Comment on this article
TODAY
’Waamuzi Ligi Kuu wala rushwa’
Miss Tanzania watakiwa kuboresha mashindano
Imani za ushirikina zakwamisha mazishi ya mchezaji
Maximo aahidi kuichapa Burkina Faso
Klabu Ligi Kuu kujadili maboresho leo
Wema kukabidhiwa bendera leo
Stars haijashinda Afrika tangu 1997
Kagera wajiandaa Tusker ya Kenya
More news....
-----------------------------------------------
Editorial
Ihefu: Inspiration to environmentalists
-----------------------------------------------
Business bits
Exchange rates
Dar Stock Exchange
Financial Times Editorial
Financial Watch
More business
-----------------------------------------------
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2005 IPPMedia Ltd. All Rights Reserved.
michuzi, naomba kama unaweza kufanya lolote utunge sheria kuhusu baadhi ya watu...
ReplyDeletehuyu jack anatubandikia vipande vya gazeti, yaani mimi najisikia kulia maana nakumbuka mbali sana.
ananikumbusha wakati ule tuna mrema kwenye siasa. naona ananibore sasa.
mimi simjui na nimeanza kuchat leo lakini ameshanibore tayari.
maana kama tenga anasema watu wezi yeye yanamuusu nini? baba yake refa au inakuwaje katika mambo yake...huyu jamaa ana uhusiaano na yule jamaa aliyekataliwa na tff kupeleka timu ulaya?
Team imejaa sana waarabu hii. Nadhani waafrika wanajilazimisha tuu.
ReplyDeleteJACK PEMBA, MAPENZI YAKO KWA SOKA NAFIKIRI INABIDI UTAFUTE NAFSSI KATIKA TIMU KAMA SIMBA AMBAYE INGEPENDA SAN AKUKUKARIBISHA KAMA MDHAMINI. UNASEMAJE MTAALAMU...JIBU TWENDA KAZI.
ReplyDeleteTIMU YA TAIFA MUACHIE KAKA JAKAYA NA WENYE NCHI HII.HUNA LAKO MZEE.KWANZA DENI UMELIPA PALE UPANGA?
Namuona Samir Muchacho akiwa amekasirika hapo umguse tu anakupiga ngumi.Kidedea hoyeeee
ReplyDelete