Home
Unlabelled
Nasaco
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pesa za kukarabisha majengo kama hayo na kujenga mapya kama BOT zipo, lakini za kukarabisha barabara na mitaa na kuweka miji safi hakuna.Mambo hayo.
ReplyDeletedah mzee michuzi, binafsi nashukuru kwa picha ya hili jengo, maana nakumbuka wakati lile la kwanza ninaungua nilikuwa sekondari jetegemee na nilikuwa niko kwenye gari natoka skonga na rudi home. duh ila sasa mbona nssf wamerudia kuwa mipira hiyo ya njano ya nyekundu??? je moto ukishika siitakuwa soo kama mwanzo tuu.
ReplyDeleteoyaaa tafadhali tuwekeee picha ya lile jengo la zamani tafadhali, mzee michuzi.
from uk.
Bila yaku himarisha huduma ya zima moto TZ, haitashangaza kuona majengo haya yakiungua tena.
ReplyDeletewewe fala trio kaka tangu watu wakusifie umeona kana kwamba kazi yako ni kutoa kasoro katika maoni ya watu sio? Hacha ufala wa kutoa watu kasoro au page nzima kuonekana wewe na maoni yasiyo kwisha, kama unataka kutoa maoni toa ya kwako na sio kusubiri watu waongee na wewe ndio ufunue domo lako. Tumekuchoka na Pasuka au kunywa sumu kwa ukweli.
ReplyDeletesafiiiiiiiiiiiiii kwa kuona wewe fala tunategemea uta hacha kutoa kasoro katika maoni ya watu na heshimu maoni na fikira za watu. umetupata? SIO KAZI YAKO NA UTOE MAONI YA KWAKO TU NA USISUBIRI WATU WATOE MAONI NA KUWATOA KASORO.
ReplyDeleteMaoni mengine hua yanachekesha, na sijui watumaji wa maoni hayo walikuwa wanacheka pia au walikuwa wamechukia wakati wanayatuma maoni hayo, kwa mfano Bwana Anon wa Aug. 30, 2006 3:33
ReplyDeleteFala alizidi huyo, tulimchunia mpaka tumeshindwa leo tume mpa ka ukweli chake. Hacha ufala trio kaka.
ReplyDeleteTrio Kaka wewe kula pozi...hao ni wale wa Shabaan Robert waliojawa na midomo michafu...
ReplyDeleteFala tu huyo kazidi ufala wake.
ReplyDeleteAta useme nini we fala tu tena wa kutupwa.
ReplyDeleteTrio Kaka,
ReplyDeleteNitafute mettyn@hotmail.com. SBS, kwa Mzee Karo, yes.