nbc makao makuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. weee bongo inapendezae naona kuna kakijani flani kwenye bustani za barabarani, kama london vile

    ReplyDelete
  2. Kama London ndio iko kama hii basi hakuna mpango. Itakuwa imebakia na mabasi yake ya ghorofa!.

    ReplyDelete
  3. wewe haujui siku zote london kama zanzibar tu.hata ukiangalia picha za wabongo wako kule kazi kuigaiga tu.ushamba mtupu.

    ReplyDelete
  4. Kama kawaida yangu Mirost nakuchokoza tena. Ikiwa kesho au leo ndio siku rasmi ya ufunguzi wa safari ya Ghana 2008 na SA 2008. Huoni nimuhimu kupost picha na historia fupi za kila mchezaji aliyemake National Team. Kama wakati ulee wa gazeti la Mfanyakazi lilivyokuwa linafanya. Hii itafanya hawa vijana waanze kuona wanathaminiwa na kuongeza munkari wao. Kama unavyofanya kwa wa kina dada ma miss. Ombi: Kama mnakutana na Waandishi wengine wa vyombo vya habari naomba hili uliwakilishe. Inaonekana nikazi ndogo tu lakini kama mtashirikiana basi 2010 nakuona Michuzi ukisindikiza Taifa Stars South. Kama haitoshi utakumbuka manenohaya 2010. Kumbuka: Soka sio physical game tu bali physiological,I mean saikolojia, maana dictionary yangu iko mbali naona uvivu kuinuka. Hii pia inachangia sana katika kampeni zako za ubunge hapo baadae. Kira la heri. Your an Tanzanian Idle. Your sir name is now a vocaburary. Eg: Nani atakuwampiga picha = Nani atakuwa Muhidini Issa Michuzi. Ndio watoto wa mjini wanavyongea siku hizi. Sasa keep up ma' bro you have great future if you don't have one yet!! Hahahahah!! GO TAIFA STARS!

    ReplyDelete
  5. Yah Anony wa hapo juu umeongea point sana> Michuzi unalalia upande mmoja tu mamiss sijui ndio interest yako. Saidia kuwamotiveti vijana wa time ya taifa bwana. Tunaomba kuanzia leo angalau uwe unapost picha ya mmoja mmoja. Please Kaka michuzi angalia na kwenye soka warembo sasa inatosha na mashindano yameisha mpaka mwakani tena.

    ReplyDelete
  6. Jamani mbona mnasakama Michuzi? kama mnataka picha za wacheza soka ni kiasi tu chakumwambia, yeye alikuwa anatuma sana mamiss kwa sababu huu ulikuwa ni msimu wa mashindano ya mamiss halafu mkumbuke kwamba yeye pia alikuwa mmoja wa wadhamini wa hao mamiss

    ReplyDelete
  7. wee anony 11:33:11 ingefaa ukitoa ufafanuzi kidogo kuhusu hoja yako .. napata hisia kwamba wabongo wote walioko london ni washamba na wanaigaiga tu... jamani hii ni kweli?? kama kuna ukweli hapo basi hii ni hatari.

    hebu tuambie uliona picha za akina kule london waliokufanya utoe hoja hii?!

    ReplyDelete
  8. Wabongo mnaosema mmneona picha za London na majengo ni mabovu ni washamba na msio na akili,maendeleo ya nchi hayadeterminiwi na majengo tu bali ni mambo mengi,nyie ndio wale mnakimbilia ulaya sababu tu mnaona majengo mazuri,mkavae na pamba nzuri ,lakini kufanya kazi hamtaki na sheria ya kukaa kwenye hizo nchi haziwaruhusu,ukweli ni kwamba bongo hamwezi kuifananaisha na london hata kichembe,mnaota ndoto za mchana,endelezeni nchi acheni ujinga.

    ReplyDelete
  9. Kwa taharifa yenu hilo jengo limechukuliwa bure kabisa hata senti haikwenda serikalini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...