hata bongo tunatuza dola kwenye sherehe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Kwani dola ndio nini? Si pesa tu kama ya Bongo ila ndio thamani ina tofautiana mf. kama mtu ukipanga kutuza Sh. 10,000 uwezi ukatoa kama dola 5 au 6 ikawa umetoa thamani ile ile? Usitupe aibu mzee dola ni kitu cha kawaida hasa kama wewe mjanja wa kufikiria au unafanya biashara basi mipesa yako yote iweke ktk dola au paundi ukiiweka ktk madafu inashuka thamani kila siku mzee.

    ReplyDelete
  2. Sasa we ndo umeongea nini?kama huna la kusema nyamaza pumbaf!

    ReplyDelete
  3. Anony wa kwanza unachekesha!!! Unauliza swali halafu unajijibu mwenyewe!!! Usikurupuke kwa jazba, fikiri kabla hujaandika kitu!! Watu kama nyinyi mna bore sana!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. eti mimi aka i ndio nini sasa huo si upuuzi tu. acheni ushamba nyie dola ni kitu cha kawaida tu.

    ReplyDelete
  5. nini tofauti ya dola na shilingi?

    ReplyDelete
  6. huyo fala wa kwanza anarukia tu mambo ili mradi aonekane ametoa comment,fikiria kwanza sio unabwabwaja tuu mama wee.embu eleza vizuri ulichotaka sema najua sasa utakuwa umefikiria sawasawa chizi wee

    ReplyDelete
  7. Anony wa kwanza anachosema ni tuache kuabudu dola za kimarekani. Tendo hili linashusha thamani ya TShs na kuumiza uchumi wetu.

    ReplyDelete
  8. Namuunga mkono Anony wa kwanza.

    ReplyDelete
  9. Kiswahili sio mchezo huyo dogo anony 1 anaonesha uzalendo wa kukerwa na matumizi ya dola lakini ameshindwa kujieleza ndo maana nachota mitusi yote maana kakutana na redio manzese na Kibulugwa sasa zinamtoa kamasi kama si mshipa

    ReplyDelete
  10. jamani acheni matusi siyo vizuri kutokana na maadili na malezi yetu watanzania!!

    ReplyDelete
  11. acheni hizo

    ReplyDelete
  12. Moyo huo wa kuchangia ungehamia katika elimu naamini Tanzania tungekua tumepiga hatua kubwa sana katika sekta ya elimu.

    Sisi kazi imebaki kushadadia harusi tu na mambo mengine ya kupita

    ReplyDelete
  13. ulaya watu hawatunzi wasanii wawepo kazini hilo moja,pili dola ni fedha tuu kama fedha nyingine upatikanaji wake mgumu matumizi yake ovyoo
    mhe muhidin tafadhafali kama huna comment katika kazi zako za picha wacha picha zijieleze zenyewe yaani No Comment.mara kwa mara unajiabisha sana mkubwa tutachoka kukusupport.

    ReplyDelete
  14. Anony 2:29,hii ni blogg binafsi mtu anaweza kuwa na mtindo anaoupenda. Pili,naomba uelewe unavyoCOMMENT siyo FAVOUR kwa MICHUZI jaribu kupotea uone kama tutakutafuta. Tatu kinachofanyika ULAYA siyo lazima kifanyike TANZANIA. Anachosema ndio kinachofanyika. Naona watu wana STRESS sana UGHAIBUNI, PESA siyo kila kitu tukichoka turudi nyumbani, MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  15. Anony wa 9:35 pm umenifurahisha kwa kueleza ukweli:-) Migongo inauma ndugu yangu weee; box sio mchezo!! Mungu ibariki Tanzania.......

    ReplyDelete
  16. yaani kweli ni frastration tupu maana huyo anony wa kwanza alivyokurupuka utafikiri kaambiwa unaangaika na dola wakati bongo zipo,msiumie roho shida zipo kote kama lady jd alivyosema kila mtu anawazo wala sio uongo tupunguze tu hasira tule maisha

    ReplyDelete
  17. tofauti ni $$$ is a foreign currency, inabidi uende kuchange Shs ili upate $$$. Ktk hilo unapoteza vijsenti vyako kiaina maana bearue de change lazima wafinye vijichenji kidogo .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...