Home
Unlabelled
wami
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bongo inajitahidi kwa miundombinu,
ReplyDeleteHilo daraja lilijengwa na wajerumani kabla ya uhuru. Ni jembamba na linaruhusu gari moja tu toka upande mmoja (magari mawili hayawezi kupishana kwenye hilo daraja) Msukumo wa kujenga daraja pana zaidi na la kisasa umekwama kwa miaka nenda rudi toka uhuru. Wachina wamejenga pampu za maji pembeni hapo na nyumba zao za kuishi.
ReplyDeleteRahaleo Coach...Tanga-Dar...wazee wa Pangani...
ReplyDeleteRahaleo Coach...kwa nyuma imeandikwa LANIBEMBELEZA...halafu wamechora zeze dreva wake anaitwa Msela Peter
ReplyDeleteMichuzi, sio utani hapo Wami huwa pananitisha sana sana sana. Aisee, picha ka kazi za sanaa za akina Kitogo safi mno. Watu wana vipaji vyao acheni tu. Wape pongezi zetu.
ReplyDelete