daraja la wami

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Bongo inajitahidi kwa miundombinu,

    ReplyDelete
  2. Hilo daraja lilijengwa na wajerumani kabla ya uhuru. Ni jembamba na linaruhusu gari moja tu toka upande mmoja (magari mawili hayawezi kupishana kwenye hilo daraja) Msukumo wa kujenga daraja pana zaidi na la kisasa umekwama kwa miaka nenda rudi toka uhuru. Wachina wamejenga pampu za maji pembeni hapo na nyumba zao za kuishi.

    ReplyDelete
  3. Rahaleo Coach...Tanga-Dar...wazee wa Pangani...

    ReplyDelete
  4. Rahaleo Coach...kwa nyuma imeandikwa LANIBEMBELEZA...halafu wamechora zeze dreva wake anaitwa Msela Peter

    ReplyDelete
  5. Michuzi, sio utani hapo Wami huwa pananitisha sana sana sana. Aisee, picha ka kazi za sanaa za akina Kitogo safi mno. Watu wana vipaji vyao acheni tu. Wape pongezi zetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...