wapendanao kibao walishuhudia miss tz 2006 usiku kuamkia leo daimondi jubilei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Huyu mshikaji bado tu make namkumbuka enzi hizo!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. du kweli noma huyu demu wangu bwana!!yaani hapa nimechanganyikiwa watu nimuacha au nifanye nini.hapa nilipo najisikia kam naweza kupata ugonjwa wa moyo.mkijua nilichoambiwa siku hii hamtoamini!kila la keri wanawake wa bongo nimesahau!

    ReplyDelete
  3. kwa anayewajua hawa jamani sura zao si ngeni kabisa halafu hawa watu ni wapenzi au maana wanafanana sana

    ReplyDelete
  4. oyaaa Picu!!! yaani mjinga mjinga tu yaani unatanua TU na ma miss ninii yaani!!! big up to ya, NEGRO!!!

    ReplyDelete
  5. Huyu mshikaji wakati yuko pale UDSM alikuwa hivi hivi nilifikiri alishabadilika. Yeye anapenda kushika watoto hivi hivi tu basi amemaliza kazi.

    ReplyDelete
  6. wewee saa 8:55 acha uongo huyo jamaa hajakaa wala kusoma UDSM alkuwa anaishi nje (ulaya) acha uongo mwanangu... u luk mwaa P n J.... mbna mmejifichaa?? nilizani bad mko nchi za watu mmerud lini bongo?? tutafutane jamani.

    ReplyDelete
  7. Kweli watu wana zengwe, huyo jamaa hajasoma hata darasa moja au shule yoyote bongo, alikuwa belgium,miaka mingi tu, tusipelekane pelekane hapa!!

    ReplyDelete
  8. Yes ok namjua jamaa yeye kweli hajasoma kabisa hila alibatika siku moja akapata mwaliko belgium akadandia flight.

    ReplyDelete
  9. jamani huyu demu sio yule anayeact michezo ya kiswahili ya Kaole group hapa bongo? yaani kama sio yeye labda atakuwa ndugu yake maana wamefanana sana.

    ReplyDelete
  10. tuache kudanganyana. watanzania hatuna kazi?!?!? jamani. Tueshimiane. Huo ni wivu na ukosefu wa "meaningful and constructive comments".
    Kama huwajui, kaa kimya. Kama una kizuri cha kusema, Sema, kama hamna basi kaa kimya.

    "no one is perfect" and you have issues with them then please watafute mmalizane.

    ReplyDelete
  11. Suspicious! Wawaaaa! Bado napata mikate Mzee! Kofi shop lini???

    ReplyDelete
  12. spur road 38 waaa.. you de enjoy booo

    ReplyDelete
  13. eeboooo! you de try oo! na de place na 38 still de wait you!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...