Home
Unlabelled
wapendanao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu mshikaji bado tu make namkumbuka enzi hizo!!!!!!!!!!!
ReplyDeletedu kweli noma huyu demu wangu bwana!!yaani hapa nimechanganyikiwa watu nimuacha au nifanye nini.hapa nilipo najisikia kam naweza kupata ugonjwa wa moyo.mkijua nilichoambiwa siku hii hamtoamini!kila la keri wanawake wa bongo nimesahau!
ReplyDeletekwa anayewajua hawa jamani sura zao si ngeni kabisa halafu hawa watu ni wapenzi au maana wanafanana sana
ReplyDeleteoyaaa Picu!!! yaani mjinga mjinga tu yaani unatanua TU na ma miss ninii yaani!!! big up to ya, NEGRO!!!
ReplyDeleteHuyu mshikaji wakati yuko pale UDSM alikuwa hivi hivi nilifikiri alishabadilika. Yeye anapenda kushika watoto hivi hivi tu basi amemaliza kazi.
ReplyDeletewewee saa 8:55 acha uongo huyo jamaa hajakaa wala kusoma UDSM alkuwa anaishi nje (ulaya) acha uongo mwanangu... u luk mwaa P n J.... mbna mmejifichaa?? nilizani bad mko nchi za watu mmerud lini bongo?? tutafutane jamani.
ReplyDeleteKweli watu wana zengwe, huyo jamaa hajasoma hata darasa moja au shule yoyote bongo, alikuwa belgium,miaka mingi tu, tusipelekane pelekane hapa!!
ReplyDeleteYes ok namjua jamaa yeye kweli hajasoma kabisa hila alibatika siku moja akapata mwaliko belgium akadandia flight.
ReplyDeletejamani huyu demu sio yule anayeact michezo ya kiswahili ya Kaole group hapa bongo? yaani kama sio yeye labda atakuwa ndugu yake maana wamefanana sana.
ReplyDeletetuache kudanganyana. watanzania hatuna kazi?!?!? jamani. Tueshimiane. Huo ni wivu na ukosefu wa "meaningful and constructive comments".
ReplyDeleteKama huwajui, kaa kimya. Kama una kizuri cha kusema, Sema, kama hamna basi kaa kimya.
"no one is perfect" and you have issues with them then please watafute mmalizane.
Suspicious! Wawaaaa! Bado napata mikate Mzee! Kofi shop lini???
ReplyDeletespur road 38 waaa.. you de enjoy booo
ReplyDeleteeeboooo! you de try oo! na de place na 38 still de wait you!
ReplyDelete